@official_papaambalamwezi:

SAVANA KUKU FARM
SAVANA KUKU FARM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 17:12:48 GMT
36308
508
16
119

Music

Download

Comments

jomboxpoultry
JOMBOXPOULTRY :
kiongozi amesema vizuri sana lakini nivizuri zaidi mfugaji kujifunza kutengeneza chakula cha kuku mwenyewe ili kupunguza gharama za malisho ambazo ndizo zinachukua sehemu kubwa ya gharama ili kutengeneza faida ya kutosha na uhakika kwa mahitaji ya soko
2026-08-20 06:11:06
1
emanueltimoth436
Emanuel Timoth :
uongo mkubwa
2026-08-22 09:38:47
0
user9596555277456
user9596555277456 :
niunge
2026-08-16 14:36:58
0
lc300series
LC 300 Series :
kuku wangu wamefika mda wa kutaga ila hawatagi ni saso
2026-08-03 08:44:20
0
sirmdachi1910
sirmdachi :
mnapatikana wp!!?
2026-08-05 20:23:06
0
mwanawamungu0
Mwana wa Mungu :
mie naomba kujua wanatakiwa kuwashiwa taa kwa mda wa miezi mingapi na chakula nawawekeaje yaani ratiba ta asubuhi na jioni
2026-08-03 19:41:13
0
ainesmgimbwa
Ainesmgimbwa :
halafu ukiwalisha vifuko 9 hapo nimpaka miez 3 jeutauzaje
2026-08-04 16:31:07
0
mbengale
mbengale :
niunge
2026-08-04 18:37:43
0
To see more videos from user @official_papaambalamwezi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About