@an_nahl_trust: Vijana 20 waliofaulu zaidi wamepata zawadi ya kufanya ziara katika maeneo yatakayochaguliwa. . Hii ni kuwafanya waburudike lakini wajifunze kimazingira zaidi wanapokua katika ziara hio. .. Tuungane pamoja kuwapongeza kwa hata comment yako. . #an_nahl_trust #f6 #zawadi