sio Tanzania mtupee huyu akue wa Kenya juu amutakii kumpiga support....sisi Kenya tunaanglia message sio nyimbo sijui n safi .....nope message ndio kila kitu kwetu bila message uwez toboa Kenya ...lkn huyu nimemukubali
2026-08-03 11:17:16
31
stellah ❤️🇹🇿 :
kama bado unawazizi wote wawili mshukulu sana mungu sio lahisi
2026-08-05 10:02:47
19
mary kim :
Hyu anajiitaje pls
2026-08-04 09:22:21
8
neto D voice :
kazi safi hu wimbo hunaitwa aje
2026-08-02 20:40:46
7
HAKIZIMANA MUSA :
KIGOMA support our young brother
2026-08-03 02:43:43
5
Pendo💔 :
sjuee hata nalia nini jamani ila nakutaachoz yamatoka😳
2026-08-09 17:54:50
2
Husna Husna :
nyimbo inagusa maisha ya watu 😭❤️
2026-08-05 05:58:39
1
Sharifa 💔💔🌻 :
hii nyimbo sichoki kuisikiza Nzuri sana hongera 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-04 19:15:24
6
angle humble girl :
congrats 👏👏 good job
2026-08-09 20:17:32
1
plastic :
the song is very emotional. it touches my heart
2026-08-05 10:14:25
3
mosesnjuguna98 :
congratulations
2026-08-09 13:11:11
1
sauda khamiss :
ww ndio 👑 wengine wanawaza mapenzi tu
2026-08-08 21:24:12
2
Nanatz :
uweza san
2026-08-05 15:16:11
1
KING VOICE 👑🎵 :
Jamani kila mtu na historia yake but ,nyimbo imenigusa Sana 😭 😭🙏 big up bro
2026-08-13 11:30:47
1
Ram nest :
Safi sana
2026-08-04 20:38:57
1
mshangazi :
Yani napenda sana nyimbo zako🥰🥺😢😢
2026-08-04 19:16:18
2
Zaynabo 1213 :
😔😔😔😔 duh
2026-08-05 19:15:37
1
Jackson Athuman :
Ndo kuimb ana jua 2
2026-08-05 03:36:38
1
JAX~BOE🃏🚸 :
Gima linaitwaje
2026-08-02 18:26:36
2
eunie akatonito :
safi kaka🙏🙏
2026-08-04 20:30:13
1
Kelvin J Arno :
Ama kwel KIGOMA kun vipaj
2026-08-05 08:02:22
1
gpc chambega :
pambana dogo kaza
2026-08-05 01:35:47
1
skinbyong ug :
mungu akubalikie ufike Uganda
2026-08-05 11:38:09
1
To see more videos from user @jay_may12, please go to the Tikwm
homepage.