@unosyemwamtobe746: Day 2 🍽️ Dinner ilikuwa nzuri... lakini changamoto ilianza pale nilipoanza kugundua kwamba fedha zinaonekana kuwa na nafasi kubwa kuliko hisia. 👀💸 Je, kweli mapenzi yanaweza kushinda pesa, au pesa ndiyo huamua kila kitu? Episode ya Day 2 ipo sasa. 👇

Unosye mwamtobe
Unosye mwamtobe
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 17:40:13 GMT
111633
9117
203
40

Music

Download

Comments

syrah2440
Ms Syrah💕 :
hawa wanajifanya hawajuani 🤣😁
2026-08-02 18:12:09
56
emmabenard878
emmy🩵 :
mala moja moja muwemna kiss jamani
2026-08-02 18:16:18
24
b.e.a.g.l.e0
b.e.a.g.l.e0💕 :
Eh Mwamtobe mashartiiii😂😂
2026-08-03 05:48:51
0
mariewat1
Marie Salim :
appreciate japo kidogo nawe
2026-08-03 01:12:20
0
pretty.shny
𝓜𝓼•𝓢𝓱𝓪𝓷𝔂🌸💖✨𓍯 :
tunao tazama j3 tujuane😁😁
2026-08-03 05:11:43
22
aritoo59
ARITOO kighendi :
wana endana jmn
2026-08-02 19:15:31
0
nkuruzizaedmond
Nkuruziza Edmond :
mnaanza kunipa furaha sana eemungu 💕💕
2026-08-02 18:21:06
16
happie324
Da Bonge🥰 :
Mimi kila sku ni wa kukenuaa kwenye mahusiano ya watu mungu kuna sehemu nmekukosea kwani😂🥲🥲🥹🥹
2026-08-02 18:19:08
13
user5805384100727
niyonzima :
subili kwanza niku follow😂😂😂 maana nimeenza kufulahi
2026-08-03 04:57:06
1
dianne.hendrk
Dianne Hendrk :
nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-03 05:20:45
1
abigaeli43
abigaeli43 :
hap kwny hela umenena mwamtobe
2026-08-02 19:20:17
11
majeedofficia2
Majeed :
ingekuwa mm tungeishia apo apo🤣kwenye hela 🤣
2026-08-03 05:41:30
1
user158435846
binti mwasifiga 🥰🙏 :
wanyakyusa mwenzangu Kwa upendo asilimia Zote nakupa
2026-08-02 18:44:11
4
user6249928340044
NAYRA :
wapenzi watazamaji
2026-08-02 18:22:05
3
neyfaa4
Neyfaa :
mbona hujaeka helaaaaa🤣🤣
2026-08-02 18:19:56
5
g.g.massawe
Loves :
nisiwe muongo. kama hamna mausiano natamani muwe na mahusiano na si mahusiano tu natamani muwe mke na mume mnaendana saaaana🥰🥰
2026-08-02 18:46:32
3
dommy5088
Dommy5088 :
uky kafollow😁😁😁 ha elewa Alisha follow
2026-08-02 22:37:18
0
mompa22
mom P♥♣ :
10/10 mkuje
2026-08-02 18:21:44
1
ladythuu4
ladythuu4 :
Si mupendane tuu jmny🥺🥺
2026-08-02 18:34:31
0
tomayo23
Cuccitini ⚽️ :
Kikifika kipande cha kuwa chumban, mniambie
2026-08-02 20:06:57
1
grace.munishi37
Grace munishi :
mmeona njia rasmi sasa y kutangaza mahusiano yenu mliyoyaficha muda mrefu sasa mmechoka🥰
2026-08-02 19:01:10
3
joyce.pendo22
joyce pendo22 :
et hela
2026-08-02 18:16:30
2
imeldaa543
🎀 :
FANYENI YOTE ILA SIKU YA MWISHO MUWE PAMOJA❤️🥰
2026-08-02 18:24:00
3
feycute.ally
feycute Ally :
nimezid kuwapend
2026-08-02 19:49:26
1
amishaaam
Amishaam416💖 :
jmn kun anaetaman km mm hii ingekuwa ndefu km movie
2026-08-02 19:05:11
1
To see more videos from user @unosyemwamtobe746, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About