muendelezo hiyo story naijua wataenda mpaka katavi kumfata yule wa koti watampata kumbe lile koti mdogo wake alilivaa akaenda nalo kigoma, sasa kigoma alikuwa anaishi karibu na ziwa Victoria akaenda kufua, sasa memory card ikamezwa na samaki 😆 🤣, sasa ulikuwepo unabisha, tuendelee na story bahati nzuri yule dogo alimuona yule samaki, yule mjomba akaja na watu wote,yule dogo mwizi,msimuliaji,boda,cameraman wakachukua boti wakaanza kuvua oyaaa mamba wote walijitenga wakiona nyavu wanakimbia yule mjomba mdingi aulizi watu wakitoa mamba anauwa sipo poa walivua samaki mpaka wakampata,kigoma hiyo mpaka samaki wakawa wamepungua serikali ikazuia watu wasivue, hiyoooo kisa ndio iko memory card 😄 😀 😆 🤣
2026-08-03 09:47:12
9
ramaaaa :
Next kiongoz
2026-08-03 14:20:59
1
AMAN TECH :
@Gasper lyatela:muendelezo hiyo story naijua wataenda mpaka katavi kumfata yule wa koti watampata kumbe lile koti mdogo wake alilivaa akaenda nalo kigoma, sasa kigoma alikuwa anaishi karibu na ziwa Victoria akaenda kufua, sasa memory card ikamezwa na samaki 😆 🤣, sasa ulikuwepo unabisha, tuendelee na story bahati nzuri yule dogo alimuona yule samaki, yule mjomba akaja na watu wote,yule dogo mwizi,msimuliaji,boda,cameraman wakachukua boti wakaanza kuvua oyaaa mamba wote walijitenga wakiona nyavu wanakimbia yule mjomba mdingi aulizi watu wakitoa mamba anauwa sipo poa walivua samaki mpaka wakampata,kigoma hiyo mpaka samaki wakawa wamepungua serikali ikazuia watu wasivue, hiyoooo kisa ndio iko memory card 😄 😀 😆 🤣
2026-08-04 07:39:38
1
Luth🥰🥰 :
Naomba Ulale mapema Leo sw 😂
2026-08-02 18:24:38
7
Mr. Nonchalant :
kama kawaida Next nitag Msouth
2026-08-02 18:57:42
6
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
ow nitag mwendelezo
2026-08-03 07:38:40
2
pendo :
next
2026-08-02 18:07:34
2
ireene🦋 :
oyaaa! mbona kama imeshakuwa nomaa
2026-08-02 19:05:25
3
ms_a.n.n.i.e.07 💎💜 :
ole wako usinitag next video elewa neno "ole" 😁
2026-08-03 12:38:18
1
@MILEMBO MILEMBO :
brother hiyo memory niliiweka kwenye huu mfuko
2026-08-03 14:57:15
1
Fermy2 :
Hapo ikisha patikana inabidi tu muulize kuna siri gani kwenye hiyo memory card 😂😂😂
2026-08-02 21:28:06
4
🦋Tee👄🦋 :
Wakwanz🥰🥰🥰
2026-08-02 18:06:33
1
NAAH💖💪 :
hahaha mlolongo wa hatari
2026-08-04 05:23:50
0
MAKUTUPOLA :
hiyo "kubabia" umenikumbusha mbali sana 😆😆😆 sidhani kama ukubwani inatumika hiyo au huenda huku nilipo haitumiwi labda mi huko kanda ya ziwa tu.
2026-08-04 09:40:13
0
pee🦋 :
next nitag
2026-08-04 08:59:02
0
chammy :
mmmh
2026-08-04 08:30:58
0
HIB :
mbona story haish
2026-08-04 05:29:22
0
Diana :
wewe mwenyewe unatuchezea
2026-08-04 05:29:24
0
To see more videos from user @msouth_mastory, please go to the Tikwm
homepage.