Mimi dada yangu alikaaaa miaka 7 kwenye ndoa bila mtoto alivyotoka kujifungua walah alikuwa mara mia ya wema Kila mtu na mwili wake watu wana miili yao na nguvu zao dear
2026-08-03 06:26:54
12
neema mngale :
kwaiyo wema alienda kucheza uko
2026-08-03 05:01:57
11
Naima eyes :
wema katupiga kweli daah hapana
2026-08-02 21:26:22
38
ummykimea :
😂😂😂😂Ila kuna muda kama naamini ibi Wema katupiga
2026-08-03 03:51:45
9
#shamsa/(001) :
wema nimuogo haja zaa kabisa
2026-08-03 12:09:25
0
UMMU NAZRAAT :
hahahhaa wallai dadangu umeongea point😂😅😂hiyo time ya makeup iko wapi😂😅wema asituchanganyeee banaa😂😅😂
2026-08-03 04:33:32
8
lovenesmwasunda :
jamani muacheni wema apumzike kila mtu na uzazi wake