@naarah032: Upo siku itapigwa kwa ajili yangu😩hata iwe 2035 Ila lazima inshallah #trending #viralvideo #viralvideo #flyppppppppppppppppppppppppppppppp #1000millionviews

From your contact
From your contact
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 18:36:21 GMT
115870
11479
149
209

Music

Download

Comments

bertha.mathayo3
Beee🌸🌸 :
jmn ni mm tu nikiingia tiktok video za ndoa zinaandamana 😂😂
2026-08-12 14:47:09
42
odetha.audax1
mrs 💞💞💞 :
mwak huu aushi kwangu
2026-08-03 07:59:52
31
mu_drich92
Mo :
na mm yangu mwakani jmn🤣
2026-09-09 18:28:00
0
mwanah231
mwanah breezy🥰 :
Yarrabi naiomba hii siku kwa unyenyekevu Mkubwa 🥺🥺🥺
2026-09-04 22:11:46
0
mohamed.rajabu74
Mohamed Rajabu :
Qaswida tamu, mpka imnfnya nitafute mke nioe na mm ! Manshaalah hongeren
2026-08-17 09:16:46
3
username_zaynab
zaynab🧕 :
video za ndoa bas sasa jmn sna ata huyo wakunioa kwa sas😂
2026-09-09 17:24:10
1
user2740675182058
oficial muuh :
Atamimi naamin ipo siku itapigwa hii nyimbo kwaajil yangu namungu naomb snipe mume bora mwenye kumchamungu naatapenda familia yangu yote
2026-08-24 07:35:08
2
t.bby064
t.b@by :
Nasikia ukianz kuona video za ndoa kwako bas na ww yako inakaribia jmn inshaallah mungu asaidie na yangu jmn ifike
2026-08-10 02:42:21
22
abdallahshamran
SHAMKHAN 😇 :
inshallah amiin
2026-08-08 06:04:56
2
reycute019
Rey cute :
mashallah kila la heri
2026-08-05 08:18:32
2
zenahassani80
Zuenah Binti Assani 🥰 :
inch'Allah 🤲
2026-08-03 09:31:16
1
chidy.327
Rashy_nilo⛎ :
Nikiisikia hii qaswida huwanahisi kama me naila🤲🤲
2026-08-08 07:27:21
1
hassan.gunguti
Hassan Gunguti :
Huwa nafulahi sana nikiona watu wanafunga ndoa iwe heri kwenu
2026-08-04 15:04:29
10
user7042181122505
zulhy💕 :
nikiona hii nalia Kwa furaha inshallah na mm ck moja
2026-08-05 10:05:03
5
farhanakimwanya
🦋Farhana Dimpozi"🦋.. :
EEH MUNGU NAOMBA MWENYE KHEIR NA MM🤲
2026-08-29 19:48:54
3
fattyrammy
Fatma Ramadhan :
nan akuje nasisi tufunge yetu chap 😅
2026-08-05 13:53:15
1
abdulihamisi262
Abduli Hamisi :
mashallah
2026-08-17 16:30:37
1
aniffajuma6
🦋🦋niffah💜 :
😔😔ikawe khel me mechoka kulike za wenzangu Leo waiiiiii🔥♥️nawapenda sana🫡
2026-08-14 08:01:13
2
daddys...daughter123
♓️عائشة🦋 :
inshallah
2026-08-03 07:41:23
2
hadijamfumo1998
Hadija Mfumo :
inshaallah...
2026-08-03 14:26:12
2
user30878191521734
Datty kabeby :
eeh Allah sikat tamaa naimani kabla sijaludi kwako nitaolewa
2026-08-15 10:33:41
2
sophia.breki
Sophia Breki :
Allah awape wepec kwa kila jambo inshallah🤲🥰🥰
2026-08-08 18:49:56
2
hadijakasim5
dija 🫶❤️ :
masha-allha 🤲 IPO SIKU MOJA TU NA Mimi hii QASWIDA itapigwaa 🙏
2026-08-29 23:07:44
2
zuu.oficial8
ukhty zuu :
Allah awajalie maisha marefu na kizazi bora amiin amiin🥰🥰🥰🥰
2026-08-08 20:31:23
3
user2959214512625
mwaner :
inshallah name itakuaj hivyo ck moja
2026-08-04 14:21:02
3
To see more videos from user @naarah032, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About