🤣🤣🤣🤣mmmmmmmh ila alie Gundua AI mmmmmh nachoka mwenzenu😂😂😂😂
2026-08-03 14:23:01
0
@cutemiih7 :
mtume ndo upande juu ya meza mtumeeeeeeeeeeeeeeeee 😂😅😹
2026-08-02 19:04:50
90
prisy 🌹🌹 💞 :
😆😆 kuna mtu kasem ukute Tanzania ni channel ya cheka tu na hatujuhi duuuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 11:04:24
13
alen vox🎧🎤 :
iv scot izo idea😁😁 unatoa wap vile
2026-08-02 19:51:23
0
#Kishashie_Tz :
Typing...
2026-08-03 14:16:58
0
miss lee :
haya panda turudi zetu sasa
2026-08-03 05:45:39
26
Ivan.Og :
Ukute Tanzania ni channel ya vichekesho huko mbinguni
2026-08-03 10:41:44
32
gfitymussa :
😂😂😂😂nachoka mm
2026-08-03 10:41:05
0
young boss :
mtume na mtumwa wote waigizaji wazuri
2026-08-03 06:19:52
30
Patrick Dazimba :
Hivi mnajua Umbali kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma takriban km 1,250–1,350, siku 10 huwezi fika daresalam Makanisa ya Sasahivi yamekuwa na Utapeli na uwongo mwingi sana , na huwezi kumshauri mlokole kuwa anadanganywa
2026-08-03 09:47:42
11
Shadeee fashion :
Tuliokesha tujuane🥰🥰
2026-08-03 09:12:13
11
mkwawa :
Tanzania ni nchi pekee ambayo chupa ya chai ikivunjika inakua chupa ya chumvi
2026-08-03 12:57:33
13
Silaa John :
Mtume kuna ushuuda
2026-08-02 19:32:49
15
_Phini🍀O🧼😈😈 :
ilaaaa huyo kijan ni noma😂😂😂😂
2026-08-02 19:47:39
17
extension :
kinacho nifurahisha mimi muendesh baiskeli alikuwa na camera man ...maana walimuoneshaa alivyoo barabarani😁😁😁😁
2026-08-03 08:45:22
7
mwiba :
uwongo..... uwongo hapana
2026-08-03 05:14:14
5
Easter :
ameendesha kwa mda wa siku ngapi wakuu naandika
2026-08-02 19:02:11
13
Amina :
tulioenda kwenye mkesha tukamuona huyo kijana tujuane
2026-08-03 15:09:49
2
Babe girl :
kama unaipenda Tanzania 🇹🇿 gonga like 👍 👌 ♥️
2026-08-03 13:30:01
4
To see more videos from user @scotybigg, please go to the Tikwm
homepage.