Hiyo mitego ya pesa tunayo mingi tu ila shida ni polisi tu😁😁🤝
2026-08-03 13:19:39
3
Dijjah fashion point :
Mshaanza kutuchanganya kwahyo tusilale sasa tutege mitege saa nane usiku😄
2026-08-03 09:35:41
1
Michael paul Thobias :
yanii uyuu jamahaaa kama masiaraa hilaa mung tusaidie
2026-08-03 05:34:45
2
Muchina 🇰🇪👁️☠️💰💎 :
haya ni maneno mazito sana🙏
2026-08-03 06:02:11
6
FARAJA NDEU :
san 2u
2026-08-02 20:17:53
2
Salumu mtokambali :
so poa mekuelewa
2026-08-03 06:11:37
3
DAINOSSA :
Hii nchi hii
2026-08-03 06:39:04
2
Kelvin Mbise :
kweli baba umeongeaa
2026-08-03 04:11:45
2
Julius Mathias :
nakubar🫡
2026-08-03 05:02:44
2
EMROKU 76 :
apo mzee wetu kuna vitu viwili aliongea TEGO na KUTAFUTA utachaguwa ufate kipi
2026-08-02 21:34:36
3
Ochu TZ :
pesa lazima itafutwe maana pesa inafata pesa ukitafuta nd unatega huwez kutega bila kutafuta
2026-08-03 07:41:36
4
Kamenya Beny :
uwakika
2026-08-02 21:29:42
2
Mrosso..451 :
@Mrosso..451:Utaitega kama huna mtego mkuu....
mtu hana kazi anaitegaje?
watanzania wengi tunatafuta kwanza nafasi ya kutengeneza mtego(fursa) ndipo tutege mkuu,.
2026-08-03 10:57:07
1
Mjukuu wa mwamposa 255 🇹🇿✝️ :
Mtego
2026-08-02 21:29:28
1
Tuntufye :
napesa inatafutwa kwa pesa😁
2026-08-03 05:11:22
1
Samulayza :
mda mwingine saa mbv inasema kweli😀😀
2026-08-03 14:56:00
0
user612530586350 :
NI KWELI KAMA UTAMSIKILIZAKWAUMAKINI UTAELEWA
2026-08-03 15:32:10
0
last born :
pale ambapo kiongoz akishashiba zake apo
2026-08-03 14:17:09
0
naty_naty188 :
Nikatege wapi leo 🥺🥺🥺🥺
2026-08-03 14:15:13
0
joy❤️ :
yooooh yamekua ayo😳
2026-08-03 15:24:01
0
To see more videos from user @majibu_motivation, please go to the Tikwm
homepage.