@chiefmalangalila: ni bora uwe maskini kuliko kukutana na mkopo wa mwendokasi #mkopo#mwendokasi#videotrend #fyyyyy#♥️♥️♥️💕

Chief malangalila
Chief malangalila
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 August 2026 19:51:29 GMT
107322
4284
115
275

Music

Download

Comments

jumaissa861
Tsoi :
hapo bro mi naona ungeziwia gari ungewapa huyo mwanamke, ukachukua vitu vyako
2026-08-03 07:23:55
7
user1722754011154
Salma juma :
Bora niwe masikini kuliko kukopa era nyingi hvyo nimludishe nyuma mmewangu
2026-08-03 10:51:38
3
elizabeth.mwajaji
Elizabeth Mwajaji :
wanawake sis tamaa et kumtunza lafik angu daar
2026-08-03 05:01:09
6
mohsayrah
mudi :
Ila kama TV yangu hawaichukui 😂😂😂😂😂
2026-08-03 11:20:01
0
happydickson881
Happy Dickson :
next
2026-08-03 12:57:20
0
tamari.idafa
Mama H :
Kwani majirani walikuwa wamesafiri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 11:07:18
1
husseinmatiwili
husseinmatiwili :
milioni moja ndio vitu vyote hivyo
2026-08-03 16:51:41
0
beautynanah5
💖CUTE💋 N̸a̸N̸a̸H̸✺❃💗💫 :
me sitak ujue
2026-08-03 11:02:53
0
user57586168237053
Ray @shaid :
me siwezi kumtetea uyo dada
2026-08-03 07:12:40
1
emmanuelimachete
Dume la Ndanda :
mimi hapo kicngeondoka kitu hata kimoja😁
2026-08-03 11:51:00
0
dayanaclothingstore
Diana Mgallah :
jamani kwani amna sehem ya voice mi nina stori apa jaman🥹🥹🥹
2026-08-03 14:01:52
0
0628313187ma
MARAMBE TRADERS LIMITED :
unadhani maigizo lakini huu ni ukweli mtaani
2026-08-03 09:51:15
2
user792915522
Bahati john :
kuna mama kaacha ndoa yake kisa mikopo ya bila kumshilikisha mumewe
2026-08-03 14:45:47
0
tabiaswalehe586
tabiaswalehe586 :
daah
2026-08-03 05:52:12
1
user9038756088734
brightness :
mm wange mchukua mwenyew
2026-08-03 14:03:48
0
user5177546862639
violeth :
Niukweli huooo jaman
2026-08-03 11:49:20
0
baraka1130
BARAKA :
bsr
2026-08-02 20:39:38
0
user1303552987734
user1303552987734 :
yani uwa kabisa ana akili uyo
2026-08-03 13:28:18
0
shanisarafina
sarafina :
next
2026-08-03 10:31:41
0
shamilina
shamilina :
mimi naanza nahao wanopandisha vitu
2026-08-03 10:12:52
0
vailetsandeti
Goodsoul_vai :
jaman ss wanawake duh
2026-08-03 10:57:40
0
butto909
Nelly Lory :
aliekopa si wamemkuta kwann wachukue vitu wamuache aliewakopa
2026-08-03 16:32:03
0
abrah.outfits
Abrah Outfits :
mimi ntakuwa aki😳 yani unaniambia umekopa ukamtunze rafiki yako acha nichelewe kuowa haya mambo na yasinikute
2026-08-03 10:18:40
0
abdalla406194924790
Omar abdalla :
2026-08-03 00:52:46
0
To see more videos from user @chiefmalangalila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About