Mashallah Mashallah mashallah tabaraka Allah Allah amjalie awe mwana mwema in shaa Allah
2026-08-02 20:32:23
28
chipo mantongwe :
congratulations my favorite artist 🎊
2026-08-03 15:57:06
0
🌹🌹🎂Reen💓💓💓 :
.hongera kipnzteam zuchu gonga like apa😍
2026-08-03 11:26:26
8
lumaa❤️❤️ :
Not her
2026-08-03 06:09:56
5
EUROPE man. :
mbn kama sio zuchu jaman. au naona vibaya
2026-08-03 05:34:33
33
ladyhoney :
Maa shaa Allah so cute, Allah amkuze na maadil ya kiislamu ashikamane na dini na apendeze kwa jamii,awe mtt mwenye heshima amlinde na husda za watu na majinn awe mtt mwema aje na barka na kheri teletele, Amin
2026-08-03 04:19:12
41
princess viola 🥰🖇️🥀🥀🥰 :
congratulations 👏🎉🎉
2026-08-03 15:31:08
0
b.r.e.n.d.a123 :
she soo beautiful 🥰🥰🥰🥰
2026-08-03 05:29:03
0
Eddy150 :
Mbona mtoto mzungu: wazazi mmoja Mbagala mmoja kwahani:🥰🥰
2026-08-03 14:33:42
0
binty omy :
Sai ndio nmeamini hii account c ya nurah
2026-08-02 21:22:47
8
B.Baby🌹😘🥶🥶 :
congratulations dear
2026-08-03 08:33:20
1
Self love 💕💕💕 :
this is AI
2026-08-03 07:45:46
3
RUE BABY :
congrats Zuchu
2026-08-03 05:45:14
0
aishahaji433 06846dvui :
umekua hongera unaitwa mama
2026-08-03 13:17:05
2
user4284720777558 :
Masha Allah 🥰
2026-08-03 14:34:41
1
zuh140 :
🥰hongera sana kwa kutuonyesha kashanga mungu akulinde wewe na mwanao macho ya mahasidi yasiwaone Ameen
2026-08-03 09:46:30
5
yunicy :
hongeraaa mamaaaaaa
2026-08-03 08:17:09
0
user9844070041054 :
HUYU MTOTO MZURI SANA HARAFU NI MNENE ANA AFYA SANA MUNGU AMBARIKI AMEN
2026-08-03 13:30:19
1
fatmasaid1145 :
wow 🥰🥰🥰🥰
2026-08-03 07:17:21
1
Larisah :
hii ni Ai juu zuchu hajaonesha mwanawe sura
2026-08-03 07:59:31
4
hemmy wizzy :
mwenyez mungu akubariki
2026-08-03 14:23:58
1
aziza :
MASHAALLAHU ALLAH AMKUZE MAAKUZI MEMA NA AMUONDOLEE NA HASADA ZA WALIMWENGU🙏AMEEN
2026-08-03 07:21:45
2
To see more videos from user @itsmenikix, please go to the Tikwm
homepage.