@mbdoggmaster: ASANTE SANA FAMILY 🙏❤️😭 Sijui nianze wapi kushukuru. Wiki 1 tu na tumefika 241K+ views na ndugu wapya 6,200 😱 Mmenikumbusha kitu kimoja muhimu: Watu wanapenda HISIA kuliko matangazo. Wimbo wa zamani umetuleta pamoja tena. Mungu awabariki sana kwa kila view, comment na follow. Huu ni mwanzo tu. Tunaendelea kujenga pamoja 🔥 Nawapenda sana!
kipindi iyo watu tunaatuongei sana ni mwendo wa kudedicate tu unajipatia Latifa wako waleeeeeeeeee mnatokomea☺️☺️
2026-08-03 07:11:15
138
case Fortis :
Asante ww genius artist
2026-08-23 05:53:24
0
makombe jr :
wakati muziki unaitwa muziki
2026-08-03 14:53:08
196
Jacqueline007 :
My fav song mpk kesho mb nomaaaa
2026-08-03 13:07:54
32
skygamesArena :
Huyu jamaa alikuwa na hits nyingi sana kuliko mfalme uchwara kiba aliyerudishwa kwenye game na ruge ili kujarib kumpoteza mondi
2026-08-04 19:22:22
53
MB DOGG :
ASANTE SANA FAMILY 🙏❤️😭
Sijui nianze wapi kushukuru.
Wiki 1 tu na tumefika 241K+ views na ndugu wapya 6,200 😱
Mmenikumbusha kitu kimoja muhimu:
Watu wanapenda HISIA kuliko matangazo.
Wimbo wa zamani umetuleta pamoja tena.
Mungu awabariki sana kwa kila view, comment na follow.
Huu ni mwanzo tu. Tunaendelea kujenga pamoja 🔥
Nawapenda sana!
2026-08-08 07:19:47
19
Lumati :
Anafanya shughuli Gani siku hizi??
2026-08-04 06:41:15
8
official caila😘 :
yaaani nilikua nampenda sana jamani nilikua nikksikia huu wimbo hata kama kuna kitu nafanya naacha naenda kuongeza sauti kwenye radio I love u jamaniii🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-03 09:43:05
38
Mamy1923🥰 :
Msanii wangu pendwa🥰🥰🥰 na hajawai kunichosha🥰kila sik lazima niskilize nyimbo zake🥰
2026-08-03 14:15:40
17
Zayrat abaya😍 :
Nikiimbiwa hii nyimbo lazima nichelewe kwenda nyumbani halafu fimbo nyingi sana😂😂
2026-08-03 16:29:45
18
Jacob :
hii ilikua mashine yakuchakata ngoma za mapenzi😁😁😁
2026-08-10 11:00:50
7
Nasra :
waaah tumekumiss Ile mbayaaa welcome again mr ma loving 🥰🥰
2026-08-03 09:31:25
6
user8166700862058 :
hii kweli sauti yanyuki ikopoa kweri🥰
2026-08-04 17:33:35
5
Sarah💝🦋 :
One of the best iconic song to ever produced in Tanzania… The best ❤️
2026-08-03 16:00:49
6
Its-Adhis :
huu wimbo ,duuu!!!
2026-08-03 19:30:01
5
Suarez :
Kutoka Mliman
2026-08-03 05:35:37
5
jaredmhabuka :
salut mb dog nakumbuka mbali sana kipindi 2004 album si uliniambia?? twambie dog uliambiwa na nani?
2026-08-03 09:34:58
13
Vinnie k :
buda uliendaga wapi joh
2026-08-03 18:38:31
7
Farouk👑 :
New music plz
2026-08-08 03:47:37
0
lady butterfly :
katika wasanii wote wa miaka 30 ya bongo flavour huyu ndiyo ameonekana bado anaishi kisuper star
2026-08-22 18:45:41
4
TERRY👑🇰🇪 :
eish it's been long.... our all time
2026-08-07 14:31:40
2
Vansegal Agusto :
Your number 1 fan from 254 since 2005 happy to see rising up again 💪😎
2026-08-14 09:21:22
2
To see more videos from user @mbdoggmaster, please go to the Tikwm
homepage.