@hubofwisdom.inc: Inawezekana kuna nyakati unajikuta kwenye position ambayo unasita kuchukua hatua kwa sababu ya hofu, mazingira au hali ya maisha? Katika hali kama hizo ni muhimu kubadili mtazamo wako Katika ujumbe huu wenye nguvu, Charles Nduku anaeleza kwa nini na namna gani watu wanapaswa kuwa na uthubutu wa kupigania shauku zao. "Unaweza kufanya zaidi ya hapo ulipo... Go for it... Liwalo na liwe... If I perish, I perish!" Angalia video hii katika Hub of Wisdom kwa njia ya youtube na uendelee kufuatilia kwa maarifa zaidi juu ya maendeleo binafsi, uongozi, biashara, fedha na mafanikio kutoka kwa viongozi na wataalamu mbalimbali. Do The Most! Fanya zaidi, kuwa zaidi! Tembelea www.hubofwisdom.com/media Tuandikie maoni yako kwenye comment section au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp ------------------------------------------ #CharlesNduku #Motivation #Ujasiri #Mafanikio #Mindset #Confidence #Success #PersonalDevelopment #GoForIt #LiwaloNaLiwe #HWMedia #HubOfWisdom #Inspiration #Tanzania #Africa