Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh ustadhi fungua WhatsApp group utusomeshe tafadhali
2026-08-03 10:09:59
23
alhuda :
she nakuombea sana Kwa Allah akuzidishie Elimu na akuepushe na riyaa Fanya Kwa kutafuta radhi za Allah na tamani tuonane live unipe hayo madini alikupa Allah
2026-08-03 11:03:49
11
Mustafa Jaku :
mashalla kujua hili inatakiwa elimu kubwa mno🥰🥰
2026-08-03 18:53:03
3
Binvale@91 :
Theory of Isostacy
2026-08-03 15:10:53
0
azizatamko :
shukuran my shekhe
2026-08-03 14:56:08
0
kayeye iran :
Naam shekh
2026-08-04 09:52:38
2
Asahd Khalid :
Akili nyingi mno🫡🙏🏻
2026-08-08 05:08:10
2
Sule :
Mashallah Allah akijalie umri mlef inshallah tuzid kunufaika maalim
2026-08-20 12:26:53
2
Beyrah :
mkeo msafi
2026-08-04 04:46:51
0
Hakim :
Baraqu'Allahou fikum
2026-08-07 12:28:42
1
Haruna junior :
Jazaakum kheri🙏❤️🙏
2026-08-06 07:12:34
1
mihaluking :
hizi siri mzitoe sana kaka mama kuna watu wanaitumia Quran alafu wanasingizia sayansi wamegundua wao
2026-08-18 11:42:10
1
Kaundime :
Hakika umejasliwa, tumshukuru ALLAH Kwa sjolibyako. AAMIIN
2026-08-03 19:41:27
1
stope :
kitabuu kimekamilika hakinq shaka ndani yake kinajiamini
2026-08-03 20:44:29
0
labisu1 :
qurani inahitaji akili nyingi sana ndomana wengi hatuelewi kwasababu tunaisoma tu bila kuelewa
2026-08-06 08:48:04
0
kashially :
masha'allah
2026-08-04 11:54:03
1
Salum Mwalim :
ALLAHU AKBAR
2026-08-10 11:04:23
1
user2163054183154 :
maashaallah kaka
2026-08-03 05:33:12
0
binsembe :
Allah akubarik bro
2026-08-03 12:20:28
4
lulu Sadiki :
Mashallah
2026-08-03 09:27:21
2
piiwizzy :
ustadh, Al-Baqarah ina aya 286, kwa ulichosema mwanzo rahman, annabai, ghafir, na alburuj, alhaj al baqrah tunaiunganisha wapi?
2026-08-03 20:01:49
1
AMINA 🇹🇿💸 :
Ameen
2026-08-03 16:18:35
1
Yusuf Chiko :
sipitwi na mawadhayako mpaka Niya save kwasim yangu iliniyafanyiekazi maaaasha Allah barakllahufikum Sheikh
2026-08-05 06:14:28
1
ALHIMNA :
code za maana kabisa hizi mashallah
2026-08-03 10:54:16
1
To see more videos from user @baruanramadhan, please go to the Tikwm
homepage.