@mudrrick: Wew shabik yngu wa nguv nenda kanipigie kura kwny category ya #thebeststandupcomedianoftheyear na ili kupiga kura ni rahisi sana ingia kwny #Bio yng then bonyeza link hp juu itakupeleka moja kwa moja mpk kwny sehemu yakupigia kura kisha unabonyeza kitufe vote na hakikisha kinaandik vote successfully na hp ndo utakuwa umeshanipigia kura mnyamwezi🫡 @lakezoneawards

MUDRRICK
MUDRRICK
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 04:59:51 GMT
4240
178
28
5

Music

Download

Comments

badwizzy4541
Wizz¥~master :
bei gani
2026-08-03 05:27:20
1
user3435852072481
Osman Comedy Official 💪🥷 :
AI sasa inakotupeleka ni kubaya kama ndio hivi 🙆😳😲
2026-08-03 07:34:35
1
user4953014675665
@mwchuchu :
ukipotea alf akaja akalal apoapo hakugusii 🤣🤣🤣
2026-08-03 06:02:18
0
ankal.tz
ankal tz🏃 :
mbona mimi ninalo kaka😳
2026-08-03 08:40:53
0
jafalihabibu
Jafali Habibu :
🤣🤣🤣 yaaaaaah ongela
2026-08-03 07:59:07
0
chitablock
CHITA BLOCK :
we kweli ipo iyo au Ai
2026-08-03 08:19:25
0
okeenboy006
KEEN dé Zo💫⛎ :
shingapi
2026-08-03 07:01:59
0
kadogobeipowa
big black 🖤🖤🖤 :
nipe bei boss naitaka iyo
2026-08-03 06:54:06
0
papaa8957
JOHNNIE S+ :
🔥🔥uh
2026-08-03 06:29:31
0
malipobaadayakazi
Hashir :
Mm nataka eka namba ya simu
2026-08-03 07:34:51
0
love.youmom1212
% :
bei gani
2026-08-03 07:28:21
0
geofreykomba290
GEOFREY KOMBA :
mke wangu anakisilani anaweza potea mwezi mzima!!!!!
2026-08-03 07:23:57
0
jaykim.77
JAYkim㊗️ :
sas wew unalionaje ?
2026-08-03 06:58:51
0
user577671107311053
brain og :
inauzwa shingp io
2026-08-03 07:17:03
0
beckaog1
🅱️ 🅱️Randℹ️ :
tushakujua hutusumbui tena😅😅
2026-08-03 07:08:22
0
baraka.bahati24
Baraka Bahati✌🏾😏 :
namba bas tuagize
2026-08-03 05:05:04
1
__heisbutta
Son of God :
Hizo kula zinapigwa wapi 😁
2026-08-03 05:10:36
1
swaiiii4
George swai🥇🥈🥉🏅 :
hiii ni uzuni kwa watu wenye ndoa 😏
2026-08-03 07:29:05
0
sub_zero817
Sub_Zero :
ili usiipoteze hilo shuka inabidi uwe unaliweka kwenye mtungi,bila hivyo utalipoteza bure 😂😂
2026-08-03 07:11:43
0
cotton_juices
Balozi Wa eFOOTBALL :
mbna ktand knaonekan
2026-08-03 06:44:37
0
user78135161000786
user78135161000786 :
kwanini hiyo shuka ukifunika juya shuka nyenge Ina onexha xhuka hiyo nyengine lkn ukijufunika ww hauwenekani
2026-08-03 07:21:48
0
To see more videos from user @mudrrick, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About