@_zuzaism: Part 168 | Tunazungumzia jinsi upweke na ukosefu wa pesa mwanzoni mwa safari ya kujitafuta si laana bali ni ubatizo mtakatifu. Tunaeleza kwa nini ni muhimu kupitia vipindi hivi ili kujifunza kutotegemea mali na watu, na badala yake kusikiliza sauti yako ya ndani. Hii ndiyo njia ya kuwa kiongozi wa maisha yako mwenyewe. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #sacred #solitude
zuza
Region: TZ
Monday 03 August 2026 13:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Joyce Magunga :
kabisa me uyo ila skuhz nmeshazoea na na enjoy sna naish kweny Ulimwengu Halisi wandani kulko nje💪💪🙏❤️👏
2026-08-03 13:28:28
7
Pain Zone :
every storm become a lesson, every wound become a eye, thru the darkness we can fight, BUILT FROM NOTHING.
2026-08-05 17:09:35
4
tinhandojr :
let's go zuza wake up to reality
2026-08-03 13:06:16
2
LaxBeiby :
Sizan kama hakuna alie pona kwatatzo ilo..
2026-08-07 08:52:47
4
kipa :
asante
2026-08-04 19:18:45
1
Yohana Joseph :
kaka tunashukuru Kwa mafundisho mazuli ila video zako ukidanload hazina sauti kabsa
2026-08-05 15:53:34
2
The Real Ananias :
Akili kubwa sana hii🫡🧠✍️
2026-08-03 15:06:02
2
mbaramwezi_tz :
amen
2026-08-06 09:01:47
1
jaymo :
mda mwingine ninakuwa na elalakini sitamani kwenda dukan
2026-08-03 17:14:02
1
jimmymasese :
mzeee umejibu swali gumu lililoishi kichwani kwangu kwa muda sasa
2026-08-03 14:04:45
1
SINDATO OLETIYA :
mheshimiwa unatugusa
2026-08-05 19:28:33
1
pappayake mafresher :
uhakika
2026-08-03 19:49:22
1
Rish lyrics :
AHSANTEE MWALIMU
2026-08-05 15:20:17
1
KALU🤣 :
Leo nimeamka kaka Asante sana na mwenyezi mungu akubariki 🙏
2026-08-05 15:41:46
1
Ibrahim Hassan :
broh ukosawa sana
2026-08-04 09:11:05
1
sergetsodimuhindo :
kweli
2026-08-05 10:30:43
1
Ommy True love :
asante sana
2026-08-03 13:15:19
2
Jacqueline Ernest :
AMEN
2026-08-03 19:35:52
1
## mir@ji. %% :
Naaaam Naam ,umebaliwa kaka endelea poa sana
2026-08-03 16:01:05
1
Elisha :
N kwel kabis
2026-08-03 17:49:26
1
4 Univers all possible 6 :
asande kaka kwa hilo
2026-08-06 19:11:52
1
😇CHOSEN ONE🇹🇿 :
100%
2026-08-03 17:31:37
2
Water chirld :
Nimeshapitishwa huko nikasema sina bahati
2026-08-04 11:42:48
1
christophermusa81 :
Hakika 🫡
2026-08-03 20:54:46
1
héritier maboko :
good
2026-08-03 14:02:18
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.