unaweza kurusha mauno kweli au ndo unatuektia tu apo
2026-08-05 01:23:47
0
cyborg :
kuuuiimammamamma
2026-08-09 19:53:38
0
RAHMAYNA VIJORA🤎🤍🤎🤍 :
cjui ata anaringia nn uyooooo😅😅
2026-08-08 10:10:43
0
abdulmaliki salafii :
Nasaha kwa wanawake wanaotumbukia kwenye matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii
Dada zangu Waislamu, jihadharini na fitna za mitandao ya kijamii. Shetani huwapambia watu maasi hatua kwa hatua mpaka wanayaona ni jambo la kawaida. Leo ni picha isiyo na stara, kesho ni mazungumzo na wasio mahram, baadaye ni kuvunja mipaka aliyoweka Allah.
Msidanganywe na idadi ya wafuasi, "likes" au sifa za watu. Hayo hayatawanufaisha Siku ya Kiyama. Atakachobaki ni matendo yenu. Kila picha, video na ujumbe unaomkasirisha Allah utahesabiwa isipokuwa mtubu kwa toba ya kweli.
Mwanamke mwenye heshima ni yule anayemcha Allah, analinda dini yake, stara yake na heshima yake. Usiuze Akhera yako kwa umaarufu wa muda mfupi. Dunia ni ya kupita, lakini Akhera ni ya milele.
Tubuni kwa Allah kabla mauti hayajawafikia. Mtu hajui ni siku gani ataondoka duniani. Mwenye akili ni yule anayejiandaa kwa kukutana na Mola wake kwa matendo mema.
Allah Atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kutii amri Zake na Atulinde na fitna zilizo wazi na zilizofichika. Aamiin.
2026-08-06 20:37:16
0
Mbeke Nyela :
kama ww ayupo umewaacha mbali sana wanao fanya kama ww
2026-08-04 06:18:17
0
Aboubacar sow :
❤️❤️❤️
2026-08-05 01:13:34
0
To see more videos from user @swaumuswaum7, please go to the Tikwm
homepage.