@tuqi_media: Mama, najua kuna siku ulitaka kukata tamaa. Lakini bado ulichagua kunipenda. Huenda ulimwaga machozi kimya kimya usiku wa manane, ulipoamka uliendelea kutabasamu ili nisiogope maisha. Na nisijue kinachoendelea Kuna wakati ulijinyima vitu ulivyovihitaji, ili mimi nipate kile nilichohitaji. Upendo wako kwangu sijauona kwingineko. Ulichoka, ukaumizwa na hata kukatishwa tamaa na watu, lakini hukuwahi kuniacha peke yangu mwanao. Ulinibeba kwa maombi na kwa moyo wa uvumilivu Sikuelewa zaka na sadaka ulizokuwa ukitoa nilipokuwa mdogo. Leo ninatambua kuwa kila hatua niliyofika imejengwa juu ya juhudi na machozi yako. Asante, Mama. Leo nasimama kwa ujasiri, sababu ulisimama imara wakati mimi sikuwa na nguvu za kusimama. Mungu akubariki sana@TUQI MEDIA B
TUQI MEDIA
Region: KE
Monday 03 August 2026 05:47:09 GMT
Music
Download
Comments
Edward kiriama :
God bless you mom
2026-08-12 02:40:31
0
@mmh25-De-Cooler :
Thank you mother🥰🥰
2026-08-12 08:07:22
0
Ţ ƁŐỲ $4⁵#🫰 :
Asante mom
2026-08-12 03:19:25
0
user6977879129281 :
Uishi milele mamangu nakupenda Sana
2026-08-10 16:24:03
3
jaklini deo :
asante mama
2026-08-10 18:05:39
1
Mariam George :
ilovee you mama nkupenda san
2026-08-12 09:52:16
0
user1406178296205 :
asante mama mungu akubariki
2026-08-10 14:00:49
1
Elizabethe Lamama :
asente sana maman
2026-08-10 19:42:02
2
maman mery :
asante
2026-08-10 19:07:16
1
gristof :
asante mamangu mungu akuzidichie siku
2026-08-10 18:11:44
1
2Byers Byers :
Asante Mamaangu nakupenda
2026-08-12 09:50:18
0
linah arajga :
love you mom nakupenda sana mama yangu
2026-08-12 08:27:11
0
Furaha Karisa :
Asante sana mamaa wangu
2026-08-12 09:25:44
0
Paulo ololepo Makeseni :
my mother nakupenda sana wewe ni roho yangu
2026-08-12 09:42:44
0
Hawa Ramadhani Mdoe Hawa :
Asante mama❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰
2026-08-12 09:29:02
0
Alice Nadia :
Asante mama yangu mungu akubaliki
2026-08-10 14:22:17
1
user3022712551860 :
nakupenda mama nakupenda sana mungu azidi kukupa maisha marefu sana
2026-08-12 08:08:11
0
Nivah Vane :
Amina
2026-08-03 15:51:34
0
djulian kambumbu :
nakupenda sana mamangu❤️❤️❤️
2026-08-12 05:36:17
0
Espérance Byarwenda :
Asante sana maman yangu kwa yote ulini tendea 🙏🙏🙏🙏 nakupenda sana
2026-08-12 05:54:59
0
MAMA PAMBANAJI 🇨🇦_🇹🇿 :
lakini wa mama hooote waliyo baki nduniani mungu walinde wape maisha marefu nduniani na mbinguni
2026-08-12 06:17:26
0
asifiwe :
Aksanti Sana tena sana Maman ♥️♥️🙏
2026-08-12 10:01:05
0
indrine la reine 🇨🇩🇨🇩 :
asante mama yangu
2026-08-12 06:02:57
0
MAMA PAMBANAJI 🇨🇦_🇹🇿 :
Nakupenda sana mana yangu huko uliko mungu Akupe kauri sabiti 😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-12 06:16:18
0
Halimaally24 :
asante mama
ee mwenyezi mungu mlinde mama yangu na umpe afya njema yallab
2026-08-12 07:09:37
0
To see more videos from user @tuqi_media, please go to the Tikwm
homepage.