@evamrema2: JIPUNGUZIE MAUMIVU KIPENZI. BADILIKA KWA FAIDA YAKO. #evamrema #trendingreels #viralreels #trendingreelsvideo #healyourself

Eva Mrema.
Eva Mrema.
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 06:43:38 GMT
35426
1519
82
153

Music

Download

Comments

jackiesnowcakes
J~snõw🥀🦋 cake's :
silent+hill+forgive+find your self+be happy don't forget to🙂😉+choose your self+hebu tafuta kitu cha kufanya then pendezaaaaaaa
2026-08-03 15:14:50
17
jenifamasanja540
Jemaye1 :
mmh kwahivo ndo tunyenyekee muda oote
2026-08-05 08:20:38
4
mpimbwe123
Ora💙 :
Ambavyo huwa simjibu vibaya wala chochote lakiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🙌
2026-08-03 17:57:21
5
wegapaskalina
paskalina :
mbna unawasemea tu wanaume et
2026-08-03 19:38:46
2
dwillium216
Dee🌸 :
shida sio kusamehe shida ni kusahau
2026-08-04 14:32:27
3
alaqsa.publishing
Alaqsa Publishing :
Wanaume wamepata mtetezi. But guys kusamehe ni safari nzuri ya kupona ❤️🙏🏻
2026-08-04 17:19:03
1
joha.adam
Joha Adam :
kweli mungu anisaidie
2026-08-04 09:51:15
1
jennymanyota7
💞💕jenny❣️❣️❣️ :
huyo ni mm kabisa
2026-08-03 11:00:58
1
smarter.07
DIRAO :
ww niwamaana sana yan muongezeke jaman
2026-08-05 04:27:32
1
user5543458375688
user5543458375688 :
Leo umenisema Mimi kabisaaa
2026-08-03 07:30:28
5
suzie.sayi
Suzie Sayi :
hilo nalo neno dada
2026-08-03 08:02:54
2
daiya9128
daiya :
na km yy ndo mkali kila ukimpigia cm yy ndo yuko juu tufanyeje
2026-08-05 13:11:55
1
christelle.martha4
Christelle Martha :
Mimi uwa simufokeyi nakuwa kimia kaa taila 🤭
2026-08-03 16:03:46
1
nicolaus.gerald4
Nicolaus_G_Simsokwe :
MUNGU AKUZIDISHE 🙌🙌
2026-08-03 07:23:08
1
unurat.maulid.sai
Nurat 𝚖 𝚖𝚔𝚊𝚕𝚒 :
Ahsant ila inakua ngumu sana hioooo kuna mda una eza kutaman hata kulipuka na mtu
2026-08-03 17:11:50
5
_kibokoyao0
_Kiboko :
leo asubuhi nimeitwa kama Mtoto nikastuka anayenuita ni mama au ni mke wangu😂
2026-08-05 14:12:50
1
stevejr820
Steve jr :
ni changamoto sana mbaya zaid kipatochake kikishaongezeka ndyo shida zaid
2026-08-03 14:39:16
3
qeepatrick500
qee outfits :
we dada munguu anakuon tangia nimeon nimeach naambiwa nimepata mwingin anatamn kunifat had choon
2026-08-04 15:34:44
1
kenny.nedy307
gwamitu :
safi mawazo mazuri dada
2026-08-03 10:19:33
1
f_a_u_s_t_i_n7
Jackline :
dada Eva mungu azidi kukutunza Kuna kitu nimejifunza kwenye clip zako
2026-08-03 15:57:50
1
kandonga_pris
Kandonga_pris :
😂😂😂😂😂😂😂wanaume wanaume wanaume nachoka mimi
2026-08-06 14:17:07
0
zashaa.pac2
zashaa pac :
kwaiyo na yeye anavyonijibiza amenizaa yeye😅😅
2026-08-06 07:53:05
0
user8momyithangian
mommy I&G :
nakuanfollow my byeee😅😅😅😅
2026-08-05 21:29:29
2
rukiah.adams
Nasuh :
Amen
2026-08-03 09:15:01
1
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About