Haki Niko chini kabisaa, nimekua nateseka sana offlate, nilipoteza kazi yangu , most of the time hata hatuli chochote, naomba someone anibuyie thermos ya 600 nianze kuuza kahawa niweze kukimu mahitaji ya watoi wangu , hakii tu someone anielewee plzz tuu, 🙏🙏🙏🙏....
2026-08-03 07:05:30
0
Nasra Ripoo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Ningekuwa Rapudo,,singekubali hiyo donut 🍩 itupwe 😅