@simple_me_melinda: ##tiktok reals#

Melindavicky🤍🦋
Melindavicky🤍🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 07:21:23 GMT
87090
4773
587
3350

Music

Download

Comments

hammy.baby7
hammy :
@pretty thamu🥰🥰🥰
2026-08-08 20:20:18
0
paris.mohammed1
paris🍏 :
kama siku moja kaka yangu alikamatwa na police nikampelekea chakula ile nafka pale mapokezi nikakuta askari mdada akaaza kuniuliza maswali huku ana ninyari nakumbuka nilimrukia nikapiga kichwa cha pua nikawekwa ndan kesho mchana na dada yetu mkubwa anakuja kututoa anatufokea mbele ya askar kama katuchoka me nikasema wana nisingizia tu dada kaka akajibu sisi hatutaki dharau dada
2026-08-04 12:22:04
29
swiftt.sk
Itz.swiftt :
😂😂😂 au baba halafu wazazi watutoe waanze husia wa masaa 3 tukitoka kuwasikiliza tunaanza kucheza
2026-08-03 07:33:37
69
nahra308
nah🦒 :
@its happy
2026-08-04 19:00:26
0
user5433056200061
shazma fundi :
noma san
2026-08-09 14:13:45
0
malkiabalqis
malkia balqis :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa
2026-08-05 19:09:20
1
naahtq27
♍️ :
mimi nitakua pekeangu ye anakuja kunicheka haji na kitu chochote hata maji 😂😂😂😂😂
2026-08-06 06:43:38
4
lebayee2
Leba yee :
Amin kwamba
2026-08-05 12:52:02
2
chirisrap
Aila❤️❤️ :
nina story nataman kuwasimulia 😂😂😂😂😂😂😂 ila maisha nimewamiss sana rafiki zang wa shule
2026-08-04 22:11:54
8
anilovehomedecoration
anilovehomedecoration :
hii sio meme ni uhalisia wa mambo😂😂😂😂
2026-08-04 10:26:13
2
renny43911
Renny 🦋💖 :
😂😂😂😂mim kabis na beshtie wag 🤣🤣🙌
2026-08-03 10:11:04
6
raymresh
Maggie Amani :
halafu Kunam Sina rafiki sasa
2026-08-04 12:17:30
1
ms_miel23
Vee spare Moshi✨ :
😂😂😂😂 hizi meme sijui mnazipatia wap😂😂
2026-08-04 05:43:12
6
africast31
africast 🦋 :
mi mama yangu alisema atatuitia wanajeshi watuchape mi na rafiki angu😂
2026-08-05 09:01:32
2
ms.tee0348
Ms.Tee🦋❤️ :
Nakumbuka mm na rafiki yangu tulishawahi kupigwa kipigo cha mbwa mwitu 😂😂😂😂😂😂
2026-08-05 06:45:34
1
chiomayusuph45
Chioma🦋♥️ :
Na bado anacheka 😂😂 kweny matatizo😂😂😂😂
2026-08-04 04:09:39
4
homeglowtz
homeglowtz :
Kweli
2026-08-04 04:43:30
1
fatumamwaipopo
monique :
@lily deo
2026-08-04 16:53:41
0
user068750337
rash beaut :
haya yalikua maisha yang ya shule
2026-08-06 17:24:03
0
mariam.bahat003
🪼BAHAT🧸💸🧕 :
amin😂😂
2026-08-05 15:56:55
1
user57429977781661
Secy ❣️🥰 :
me nahisi tutakuwa tunajichekesha tu kama machizi
2026-08-07 08:12:09
0
zeffah_
TUNTU✅️ :
Wangu huyu 😂
2026-08-04 06:20:21
0
To see more videos from user @simple_me_melinda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About