@bingwawamagariused: Kila mafanikio makubwa huwa yanahitaji watu sahihi, ushirikiano, uaminifu na maono yanayofanana. Usiogope kushirikiana, kujifunza kutoka kwa wengine, au kuwapa nafasi watu wakue pamoja na wewe. Ukiona mtu amefika mbali, mara nyingi nyuma yake kuna timu, familia, marafiki, washirika na watu waliomuinua katika nyakati tofauti za maisha. Usichoke kujenga mahusiano mazuri, kwa sababu mafanikio ya kweli hayajengwi na mtu mmoja bali na watu wenye lengo moja. Pamoja tunaweza kufika mbali zaidi kuliko kila mmoja akiwa peke yake.
BINGWA WA MAGARI USED AFRICA
Region: TZ
Monday 03 August 2026 07:25:35 GMT
Music
Download
Comments
reii sihaboy :
facts bro
2026-08-03 20:08:26
0
Jafari Kimaro :
nipe connection tajiri
2026-08-03 19:25:41
0
powd3r_mining_shoestore7 :
Really 🙏🙏🙏
2026-08-03 19:59:51
0
man home furniture🛋🔨🪚 :
pamja bro
2026-08-03 07:32:43
0
Fundi Baraka :
fact broo
2026-08-03 14:37:29
0
tadeimakinda1 :
hakika tajili lakini mi kila nikitafta watu wakufanyanao biashala wananiibia tajili😂🤣
2026-08-03 07:58:35
7
Nikki_255 :
Anae angalia miwani kama mimi amuombee uzima bingwa wetu
2026-08-03 08:29:57
6
MR🅱️🗽 :
Asante Tajiri kwaushauli wako🙏Tajiri
2026-08-03 17:46:38
1
M*O*T*I*C*H*✅️ :
nirudisheni apa nisikilize tena tafadhali🙏
2026-08-03 17:55:06
2
FRANK PHONE AND ACESSORIES :
🧢: Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-08-03 20:00:21
0
Monstero :
Fact
2026-08-03 10:29:42
1
TUMAINI_PHONE_ACCESSORIES 🧢 :
@TUMAINI_PHONE_ACCESSORIES 🧢: Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-08-03 12:31:59
2
Eduardo_de_ Moreno🤪 :
na laki nane
2026-08-03 07:28:29
3
SJames :
razima uanze pekeako kwenye maono yako then watu wataongezeka hapo mbele
2026-08-03 12:45:41
2
Fredy Cosmetics dealer :
Hakika mkuu 🥰
2026-08-03 17:18:22
0
erickmpallano :
👏
2026-08-03 16:44:29
0
chuga boy 0610692219 :
nakubali kiongozi
2026-08-03 18:00:07
0
ballocasto :
Umenyooka sana kaka ubarikiwe ✊🏿✊🏿✊🏿
2026-08-03 18:13:19
0
yamogi :
bro
2026-08-03 14:50:55
0
Vicent Waryoba :
daaah kwel kabsa broo
2026-08-03 14:47:39
0
Billy Mende'z :
broo umemeliza yan umebaluza
2026-08-03 14:53:43
0
"Menas Music" :
Amini💪
2026-08-03 15:56:43
0
mainasteven :
mungu akubariki🙏
2026-08-03 15:46:44
0
magombalasford :
Fact
2026-08-03 15:46:21
0
tabora_boi :
Wazee wa Miwani af ni (ray ban) 🔥🔥🔥🔥
2026-08-03 16:43:55
1
To see more videos from user @bingwawamagariused, please go to the Tikwm
homepage.