zawad pekee unayowez kump mtu unayepend ni kumwacha aende zakee makee huwez lazimish mtu akupende
2026-08-03 15:29:49
7
NDIGWA HARDWARE ♐️🇹🇿 :
🤣🤣Nachoka Mimi na watu wako
2026-08-03 10:38:49
0
Momo fransic :
hao ndo wanaume we endelea na maisha yake mungu atamuhukumu tu we ishi maisha yako tu mapenzi huwa hayalazimishwi
2026-08-03 12:34:43
0
Lon love Matemu :
huyo ni mim kabisa mwishoni mimba iliharibika
2026-08-03 08:33:58
3
Wittie🌺🥀 :
kikubwa akubaliane na matokeo yakuwa huyo mwanaume sio wake aishi maisha yake
2026-08-03 11:35:34
0
user1923837255229 :
dada endelea kuwakumbusha wanawake wanatakiwa kujichagua wao kwanza kabla ya mtu mwingine yoyote
2026-08-03 14:41:52
0
Aryan💫 :
mm nilivyonaubongo mdogo ningemsema tuu , sasa mm ningeenda kukaa wapi
2026-08-03 10:50:18
0
Paulina James :
chakwanza amsamehe na kuachiria ili awe na amani moyoni mwake ataweza kumsahau
2026-08-04 03:40:53
0
pretty gal :
ajifunze kumsahau na kukubaliana na ukweli kua huyo sio mtu sahihi kwake.. aendelee na maisha na kumpenda mwanae kw moyo wote, kikubwa mwanae ako na afya njema
2026-08-04 05:23:40
0
miss~mama❤️ :
😂😂 aaah me mapenz bad jmn Kwa Kwa vikao vyak navyookaa mbele hehehe 😂🙌
2026-08-03 19:25:08
0
DEMIR :
Sijui niseme nn
2026-08-03 10:05:17
0
Rachel😘🥰😘 :
Ndo mana wanalogwaaaaah
2026-08-03 13:17:14
1
norahmike509 :
Afanye kama alishahani msiba wa huyo kibudu, alee mtoto wake maisha yaendelee. Kwa akili zangu ningemwambia mtoyo wangu ukweli💯
2026-08-03 12:20:49
1
happie :
wanaume hawana huruma niwa binafsi mnoo
2026-08-03 11:14:33
0
Clara herman :
Kwa hili cn neno maan ni km tuna same story me na huyo dada ila mm nko bze na kutafut hela na cy kumlilia panya rod km huyo
2026-08-03 08:35:55
0
Jseven❤️ :
amtandike busha ya maisha Khaaaah,😏
2026-08-04 06:36:09
0
Magellan Kimwaga :
Mpenzi wako akifika chuo tu, umeisha
2026-08-03 17:07:05
0
Betty_ryker🧚♀️💞 :
Aache ujingaa aendelee n life lake em
2026-08-03 16:32:29
0
lily*#97 :
amsomee zaburi huyo kaka
2026-08-04 06:22:01
0
To see more videos from user @chica_fourteen, please go to the Tikwm
homepage.