Wala msiwaue watoto wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua wao ni kosa kubwa.
Wala msiikaribie zinaa. Hakika hiyo ni uchafu na ni njia mbaya.
Wala msiiue nafsi ambayo Mwenyezi Mungu ameiharamisha kuiua, isipokuwa kwa haki."
inapatikan katika surat al Isra kwajina lengine inaitwa banii israil (17 aya 31-33)
2026-08-03 16:20:48
6
DULLY💔254🇰🇪 :
😌😌😌
2026-08-03 14:56:28
0
To see more videos from user @barca0746, please go to the Tikwm
homepage.