@worship.in.spirit: Kiwango cha Uimbaji cha sasa KIMEPUNGUA ukilinganisha na ilivyokuwa zamani, Amesema haya @mix3dbyfreddie katika Panel ya @worshipinspirittz na Host wetu @ablenty_sadock NINI MAONI YAKO? Hiki ni Kipindi cha Ibadabya WORSHIP IN SPIRIT kupitia Television ya @crowntvtz inayopatikana katika Kisimbuzi cha AzamTV NO. 415 Kila Jumapili kuanzia saa 10:30 Jioni na Marudio kuanzia saa 3:30 Usiku. #crowntv #neemagospelchoir #worshipinspirit #hapaninyumbani

Worship In Spirit
Worship In Spirit
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 08:25:35 GMT
20475
2237
41
39

Music

Download

Comments

upendo.frank
Upendo Frank :
i slight disagree follow the Holy spirit and it will reach to the targeted people but ukifata sana what people like utajikuta unaplease watu na unampoteza ya Mungu, jua your purpose and follow what God tells you ,weather people likes it or not
2026-08-04 07:50:26
0
usertrendybenz
Trendy benz :
exactly brw🙏🙏🙏🙏
2026-08-04 05:36:59
0
ministerdamas
Doctor damas💉💊 :
bwana masanja🔥
2026-08-04 09:42:27
0
jdmelody0
JDMelody :
wow wow
2026-08-04 05:49:42
0
di_ma_tt_a_ry
Aggrey Di Mattary :
Very trueeee👏👏👏👏👏👏👏
2026-08-03 14:21:11
0
harmonytz
Harmony :
Hao wazamani walikaa wakaomba walikuwa kiroho hakuna cha Professional na u professional ndo umeharibu huduma na kuua huduma bora
2026-08-04 00:48:47
3
charles_michael4
De leader :
Kwa maoni yangu wasasa wako vizuri zaidi ila wazani vitu vyao vilikuwa vinadumu Kwa sababu wenye uwezo wa kurekod walikuwa Wachache vyombo na mitamdao ya kijamii haikuwepo Kwa wingi hivi hata kway zenye uwezo mzuri hazikuwepo nyingi sana kwahiyo MAMBO ni yaleyale hakuna jipya chini ya jua
2026-08-04 08:00:56
2
jimmywilz
wilz :
intro zote za live gospel zetu zinafanana. Pia tunakopi vitu, hatutengenezi vitu vyetu. Tuna wapa watu ladha wanayotaka na sio ambayo tumeipata kutoka kwa mwalimu wetu Roho Mtakatifu
2026-08-04 10:11:03
1
aikabillia
Sharon :
Jamaa anajua sana mzik
2026-08-04 11:39:36
2
ministercalebmab
ministercalebmab. :
Wana music 🎶 somo hili apo
2026-08-04 05:10:48
1
iamphilcii
PHIL THE GREAT🇹🇿 :
hakuna mtu anajua masanja ndio alikua akimwandalia kanumba sound tracks za movie🙌💪
2026-08-04 06:45:30
2
josh_rafiki
King Josh :
Ila huyu bro dah!
2026-08-04 10:31:07
0
emmanuel_thomas3
Mwakamisa :
Point
2026-08-04 06:48:17
0
user9981431399240
samweli benson :
Nikwel kabisa
2026-08-04 08:52:12
0
god.fear.women
God fear women💗❤️‍🩹💞💝 :
Asante kwa DARASA ZURI KAMA HILI 🙏🏽🙏🏽
2026-08-04 09:15:36
0
askofumuziki
Askofu_muziki :
very true mm mwenyewe nikiimba wimbo mpya mmoja napiga tatu za kale
2026-08-04 04:04:29
0
glorysadick525
Glory Sadick :
Amen
2026-08-03 08:57:31
0
ministercalebmab
ministercalebmab. :
Wana music 🎼 wapate somo hapo
2026-08-04 05:10:26
0
user2630741654260
Hope :
kusema kweli hata ukiimba kiroho mtu mpiga vyombo akizingua anakutoa uwepon
2026-08-04 12:40:10
0
alama_studio_tz
ALAMA STUDIO :
🔥🔥🔥 Mazoezi
2026-08-04 04:26:00
0
fiston.lefils.gui
Fiston lefils Guitariste@10 :
Ume sema kweli babangu ☺️💔🔥🔥🤦
2026-08-04 03:11:01
0
air_83
AIR_23 :
brother neema gospel choir na join vp mana ni ndoto yangu
2026-08-03 22:06:27
0
shamiry90
shamiry :
2026-08-03 11:31:40
0
nibabayangumzazituu
muhubiri rukoma :
♥️♥️♥️
2026-08-04 07:15:39
0
To see more videos from user @worship.in.spirit, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About