@shabani_rapwi: Tazama vuta ni kuvute ya hoja za kisheria kati ya Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu na Mtangazaji Juma Ayo katika kipindi cha Crown Sport. #SimbaSC #Mangungu #CrownSport #SRSportsUPDATES #trendingpost #reels #tranding #trendingreel
Shabani Rapwi
Region: TZ
Monday 03 August 2026 08:35:27 GMT
Music
Download
Comments
Tege_boe :
shida wachambuz nao hawataki kumuelew
2026-08-03 09:53:47
0
Yusuph mdaki :
Tatizo katiba yao very complicated
2026-08-03 14:50:30
0
Joseph hosseni choa :
Cku zote ukiambia ukweri inabidi ukafikili je nikweri nakosea au cjakosea mangungu ndo kikwazo tena kwa juma Ayo uwa shida atakapo muulz mangungu
2026-08-03 14:30:30
0
Mkollah Criss :
Hivi kwnn mangungu akifanyiwa interview anakuwa mkali sana shida inakuwa nn au kuna vitu anavficha katika ukali wake
2026-08-03 11:06:35
0
Daud Mlahangwa :
mangungu yupo sahihi ila magori ndio anae vuluga na watu wengi hawajui
2026-08-03 11:35:24
0
Kairo :
Waandishi wengi ni incompetent.
2026-08-03 10:54:51
0
liwalo naliwe :
mm sio simb ila huyu mangungu anawapnda sana simb
2026-08-03 11:45:26
0
mamlosa dalali goba madale :
kama kawaida yake kapaniki teyari
2026-08-03 09:38:21
0
me😎 :
ngungu boy 😆😁
2026-08-03 14:05:04
0
mamlosa dalali goba madale :
😂😂😂
2026-08-03 09:37:52
0
To see more videos from user @shabani_rapwi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.