Nurse achana na kuoga kwanza em tuambie vp kuhusu kuwashwa kwanza🥺
2026-08-03 10:57:50
53
getruda :
Me ata kuoga siog
2026-08-03 14:05:59
40
Salome mlagila :
Mimi ninaepiga deki nymba mzima inakuwaje
2026-08-03 12:41:20
27
Princessnaah🎀🧚 :
jmn mm sili mimba inamwez mmoja nahisi kufa na njaa nifanye nini jmn mm😭😭
2026-08-03 18:44:56
8
Cathe nenula :
najifunza vingi japo ni 2 moth nimeshachoka😽 nawaza na kusema mungu nitie nguvu
2026-08-03 09:29:46
43
Victoria 🦋 🦋 :
Hivi unajua bafu la bibi angu vizuri kweli doct???!!!
2026-08-03 18:19:39
9
felista :
mungu ndo anatulinda,hayo mengine tukiyafatilia yatatuumiza
2026-08-05 10:06:41
9
always GOD is perfect 😁 :
tafadhal dr jess naomba kujua namna gani mama mjamzito anapaswa kujigeuza usiku may be kutoka upande wa kushoto kwenda upande wa kulia wakati amelala ageuke tumbo likiwa juu ama chini? nitashukuru
2026-08-03 19:25:04
5
Mrs J :
vp kuusu ukienda kajisaidia mm napata shida kuchuchumaa
2026-08-06 07:22:38
7
Pendo Boutique 👗🛍️🛍️ :
Nadeki nyumba nzima na uwanja nafagia mnaniambiaje🥺🥺
2026-08-04 19:28:44
3
Zahara :
kuna ss tunadeki mpka tunaenda leba na dekio ni taulo alooo Mungu atusaidie
2026-08-04 08:19:01
6
Ms95Vee :
kwanza naoga naenda wapi!!😂😂
2026-08-16 10:03:40
6
user7833841882014 :
kwisha abali yangu😭😭 kuna madhala gani endapo umesha oga kwanjia hiyo
2026-08-03 09:21:23
12
lilianmarcus936 :
choo chenyewe nikiingia sigeuki hizo stuli nitawekaje...
2026-09-12 14:21:22
0
Jemaye1 :
jamani sii tulishauriana hatuogi
2026-08-10 21:21:50
1
Umm haarith 💙 :
sikai bana
2026-08-24 13:32:44
1
mke ya mtu :
sindio mazoez jaman,
2026-08-17 18:42:23
0
Nabizana utile :
mimi bafuni mwangu naoga nikiwa nimesimama,🥰
2026-08-09 12:13:16
1
user7065136706827nasra msuva :
mungu atulinde waja wake tu
2026-08-05 19:29:30
2
jescapeter swai :
jaman kila nikiingia TikTok nakutana na tips za Mama mjamzito but y????
iyo nakubali sawa kwamimba ya kitajiri sawa ila ya maisha ya kawaida kwetu poa tu
2026-08-17 16:39:51
2
flora Bocko :
mm naumwa jaman yan kila siku majanga2 kila nachokula natapika mpaka naishiwa nguvu hayo mate sasa ulisema yamezwe badae hutemi tena nimejaribu kumeza yan nikama ndo katafuta matatizo nikutapika jaman har hii naichukia dah
2026-08-15 10:05:29
0
Patricia morow :
uwiii mung wang nisaidie mm nafuaga kwakuinama na ninamimba ya miez8 nilikuwa sijui
2026-08-21 12:08:57
0
knack💜💜 :
ambao hata wazo la kutakakuoga huwa haliji tunaforce tujuane 😂😂😂
2026-08-04 20:43:14
2
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.