@hubofwisdom.inc: Je, ni nini humfanya mtu akupende zaidi, akuamini na ajisikie salama akiwa na wewe? 🤔 Katika kipindi hiki, Dr. Mwaka anafafanua kwa mtazamo wa saikolojia kanuni muhimu za kujenga upendo, ukaribu na uhusiano wenye afya. Mfanye mwenza wako kujisikia kupendwa, kuthaminiwa na kuwa karibu kihisia... si kudhibiti au kumiliki mtu ni kwa "Kuchukuliana." Fuatilia H.W Tv kwa njia ya YouTube ili usikose mafunzo mengine kuhusu mahusiano, saikolojia, afya, maendeleo binafsi na maisha. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la whatsApp ............................................ Session Credits: East Africa Radio #DrMwaka #Mahusiano #Mapenzi #Saikolojia #Love #RelationshipAdvice #HWMedia #TheWiseTZ #Tanzania #Upendo #Wisdom #PersonalDevelopment

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: EN
Monday 03 August 2026 09:20:11 GMT
25512
1086
14
166

Music

Download

Comments

dorcas.machocho
Dorcas Machocho :
very true
2026-08-03 14:02:29
0
zainabomar1234567890
AICHA :
hayo wayajua ww tu wengine wanawaelewa mahawara kuliko wake zao
2026-08-03 16:48:59
1
pendommarekani
pendo :
mm huwezi kunidanganya tutadanganyana. 😃
2026-08-03 14:40:31
2
fadhili.jumbe7
Fadhili Jumbe :
2026-08-03 11:13:10
0
simplybiseh
Calmstorm :
😅😂 kwanini kuchanganyikiwa tena
2026-08-03 10:52:59
1
greslaurencemapunda
Gres Laurence Mapund :
😂😂😂
2026-08-03 09:34:49
0
corinacute
corina 😍 # :
kabisa kaka
2026-08-03 11:19:29
0
eliasanga375
Elia Sanga :
ushawai kuambiwa nipige kama ww mwanaume kweli😂😂
2026-08-03 10:50:18
1
saylicioussay3
Essie :
hata wafundshwe vip hawaelewàg😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌maneno mazur tutaàmbiwa na wahind fb😂😂😂
2026-08-03 16:47:49
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About