@sameer.0073: kwan sura zote huzioni?#surahghafir #quran #surahmaryam @🍇

SAMEER 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
SAMEER 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 09:31:22 GMT
100968
14012
208
89

Music

Download

Comments

mohamedrashidxr7
Montana House Of Beauty :
Ukikamilisha swala 5 unalala kwa Amani na Ucngz mzr
2026-08-03 14:19:04
172
reah914
Hi shamy 🧚‍♀️🧚‍♀️ :
ila iyo surat inawakumbusha wengi kumrejea Allah
2026-08-03 11:40:55
224
najma2972
nahdy -collection -cosmetics :
ALLAH ATUPE MWISHIO MWEMA KWA SOTE AMEEN 🤲🤲
2026-08-03 12:03:23
56
mkuyaally
mkuya finishing🦺🦺 :
sure brooh🙏🙏🙏
2026-08-03 20:04:50
0
mirhat584
Mirha Cashewnuts :
Nikajua ni mimi tu napata hofu nikisikia hii Aya
2026-08-03 15:27:08
35
subira.shida
Subira Shida :
😁😁😁😁😁😁 inuka sasa jamani
2026-08-04 07:42:22
1
user2550799077478f
waupendo :
unapata na wasiwasi WA kulala iyo Aya sio mchana wala usiku inatia hofu km utakuwa Maana yake
2026-08-03 11:29:27
37
pilisazamakambini
HMulenga :
ngoja nikaswali harak sana
2026-08-03 19:54:01
4
emmyhenna11
Emmy henna :
Kuna nyumba ya jiran yng kila siku usik anaweka sura hio tu ikimalz inajirejea tena kwa saut kubwa bac sisahau kusoma dua usik kabla ya kulala kwa ukumbusho huo wa jiran yang mana inaogopesha hii aya Wallah lazima tu ufulikirie maut
2026-08-03 15:25:03
16
abuw.sufiyan0
Abuw sufiyan :
Acheni kufanya Mzaha na Qur'ani....msiifanye Qur'ani kuwa ni Content
2026-08-04 06:56:02
3
sungwin17
it's sungwin jr👑 :
hii sura naipend san
2026-08-03 18:04:24
1
reykimdory2
Reykimdory :
chap nachukua udhu😂😂😂😂
2026-08-03 10:55:54
2
cunning363
Cunning :
Hapo lazma uswali
2026-08-03 10:58:49
2
novasilent
SilentNova :
😂🤣😅 anakutanguliza mapema
2026-08-03 14:24:11
0
halimakimwery
halimakimwery :
katika Quran nina aya mbili nilizendazo hiyo na ayatul qursiy
2026-08-03 14:33:04
1
officialminah108
امين :
hata mim naamka😂😂
2026-08-03 15:10:35
0
user4812508212404
hasnaa :
sangapi ulieka camera
2026-08-03 18:44:13
0
hajjatkhadija150
Hajjat Khadija :
yarab nijaliye mwisho mwema amiiin nakuanziy leo taswal swala zote tano inshaallah
2026-08-03 14:17:55
0
xwachi_boy594
lady mishii :
Mungu atujalie mwisho mwema
2026-08-03 15:34:11
4
sakina.hassan05
Sakina Hassan :
Allah atupe mwisho mwema
2026-08-04 06:48:24
1
user9861375232215
amina :
mungu atupe mwisho mwema🙏🙏🙏
2026-08-03 16:30:54
1
kimwanamohammed
Kim kiface :
🤣🤣🤣 mimi nilkua naisoma alfajirii akijifanya anausingizi mwingi namwamsha aswali haniskii
2026-08-03 11:19:44
4
rahmamuhamedi
rahmamuhamedi615 :
nitakua ndo mtoa roho
2026-08-03 11:09:05
0
To see more videos from user @sameer.0073, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About