@neiddy_jr: FINALY#creatorsearchinsights #foryou

𝐌𝐔𝐇𝐄𝐍𝐆𝐀
𝐌𝐔𝐇𝐄𝐍𝐆𝐀
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 09:51:15 GMT
273074
11180
202
328

Music

Download

Comments

steerndunguru
Steer Ndunguru :
kwahiyo huyu Dada ana ngoma??
2026-08-21 10:15:00
10
waitwaiting5
Mercy❤️ :
Baadae akamtukana Tena raisi akajisahau mwenyewe
2026-08-03 14:06:43
39
victorlyimo25
mr :
ni haki kupewa bure hzo ni code zetu
2026-08-03 12:03:14
21
mkwaya.matta
mkwaya matta :
mim ni HIV ila naogopa san
2026-08-04 14:49:44
20
miracle_shubilah12
PERFECT KOKU 🍭 :
ila huyu dada n mzur
2026-08-03 14:37:20
17
josephmwanga531
JM 25 :
Leo Chery umekubali rais anawasaidia.
2026-08-04 01:43:15
5
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-15 09:55:25
8
user52908106958721
karaboue chamoe :
akili kubwa san dada 💪💪💪💪💪💪👍👍👍👍
2026-08-03 10:50:14
12
user1185204361335
user1185204361335 :
DADA UKO VIZURI ILA YESU MUWEKE MBELE BASI ILI UOKOKE SIKU YA MWISHO
2026-08-05 20:30:03
5
daud.bucheye
daud bucheye :
pole lakn wote kwa mungu tutalejea
2026-08-03 19:41:52
7
sumary2111
sumarycharles :
upo wp
2026-08-24 21:16:01
1
kavughomath
Françoise :
mimi natumia pombe Sana mimi Niko congo.naishi n'avirus
2026-08-03 17:59:52
3
bigcc100
bigcc :
niliumwa HIV toka mwaka 2019 ndio niligungulika hadi 2025 mwez wa 9 ndio ulikuwa mwisho ea mm kutumia dawa na kuwa na HIV na tangu hapo sitaki mahusiano yoyote hadi naondoka dunian nisije nikarudi nilipotoka
2026-09-13 14:39:49
0
fortunatamushi590
Fortunata Mushi :
Mungu akulinde
2026-08-04 06:37:24
5
moreensanga4
maria :
uko makin sanaa hongeraa
2026-09-10 22:01:33
1
weliam.amandus
Weliam Amandus :
dada naomba namba yko tuwez kuwasilian tafadhali
2026-09-06 10:58:44
1
user3770209670196
user3770209670196 :
uko wapi
2026-08-15 15:06:06
2
prince49899
prince :
sindano ipo muhimbili dada fuatilia vizuri Nina uhakika. sema bado haiko kwa wote
2026-09-11 05:26:36
3
user7778860794053
ISRAEL :
inchi gani unayo nunua?
2026-08-16 10:00:01
2
njunwaspidion
SP :
raisi akanunulia! nimeishia hapo!
2026-09-02 17:22:49
2
tatufoce
tatufoce :
Mungu akupe maisha marefu kipenz
2026-08-20 19:22:00
2
dopplerhartz
DOPPLER HAZT {HZ} :
sio kwelcheri phigo unaumwa tu sio pombe mbona Mimi tangu nimezaliwa aijanywa pombe mbona naumwa ña umwa phigo.i
2026-08-11 07:06:34
4
majaliwamshingo
majaliwamshingo :
but your so cute
2026-08-03 22:45:04
4
user3561523844414
kayiranga :
We Dada Mungu awe nawewe
2026-08-11 02:21:37
4
annamyonga
Anna 💕💕 :
ubarikiwe kwa elimu dada
2026-09-04 06:28:46
1
To see more videos from user @neiddy_jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About