Wakati tunasoma electrostatic wewe ndy ulikuwa unamuangalia mwalimu na rula eeh😂
2026-08-03 18:36:46
1188
B&G💞💞🦋 :
jamani kuna shot kwenye mashuka tena mim mbona sijawahi kupatwa wala kusikia au itakua mnaukimwi😂😂😂
2026-08-03 17:54:53
558
Essie❤️ :
ni static electricity (umeme tuli) Wakati shuka linasuguliwa (hasa likiwa kavu), nyuzi za kitambaa husuguana na kuhamisha elektroni. Hivyo sehemu moja ya kitambaa inaweza kupata chaji hasi na nyingine chaji chanya. Chaji hizo zikijikusanya na kisha kuruka ghafla hewani, unaweza kuona mwanga mdogo kama cheche au kusikia mlio.
2026-08-04 03:53:24
509
Fettyjaffary1👣 :
Hatimae nimepata mwenzang nilijua pekeang jamani napigwa shoti hadi nakoma😂😂😂😂💔
2026-08-03 18:55:06
319
Pearl store 💎🛍️ :
physics hio mambo ya static electricity 😂
2026-08-05 10:04:47
2
Ismail Adenrage :
static electricity😂😂😂
2026-08-05 16:09:56
1
@heaven...🦋 :
kweli jaman sio shuka tu ata nikimgusa mwanangu mda nwingine shoti🤣
2026-08-04 07:54:22
126
Baby Lizzy🥰🦋 :
Ukishik simu ikiw charge huo mtetemo wake unafeel sayuni😂
2026-08-03 19:18:01
52
Muly♥️🎀 :
Gaga liwe limekubali Sasa😂😂
2026-08-03 21:02:04
20
Ney-Perfume🛍️ :
Nilizani ni tatizo langu peke angu kumbe sio 😩😩😂😂
2026-08-03 18:34:55
31
Candy💞💞 :
mimi nnahilo shuka ukifunika ukiwa umezima taa shoti utasema fataki za mwaka mpya😂
2026-08-05 17:02:30
14
Vanny Nasskiss :
Eekh hadi mashuka yanapiga shoti mi la kwangu linatoa harufu tu ya umeme kuungua 😂
2026-08-05 16:57:28
7
Mtamod Sf :
hii mpya kwangu sijawahi sikia popote
2026-08-04 19:34:44
8
Minnah_bakery_Arusha :
Me ata nikigusana na mtu najipiga shoti jamani nikajua ni mm tu
2026-08-03 18:34:04
7
olly :
Hii sitasahau tulimaliza makanisa na mama angu enzi hizo😅😅
2026-08-04 19:58:01
10
Ngomango Graphics & Printing :
Bora nirud zangu fesibuku
huku wajuaji wengi🙌
2026-08-04 08:13:18
7
AgnessAmos :
me nikajuaga mme wangu ndo anashort kumbe ni mashuka😂😂