@denri_africatz: Ni mbaya mazee🤌😅😅😂… Mwezi huu, tumekuletea ofa maalum kwenye mabegi yaliyochaguliwa ili uweze kujipatia ubora, mtindo na uimara kwa bei ya kipekee. 1️⃣ Mabegi ya leather, imara na yaliyotengenezwa kudumu 👜 2️⃣ Ubora unaoweza kuhimili matumizi ya kila siku kwa muda mrefu 💪 3️⃣ Space ya kutosha na mpangilio unaokusaidia kubeba kila kitu bila usumbufu ✨ Haya si mabegi kwa matumizi ya muda mfupi..... Tumeyatengeneza kudumu. Chagua begi lako leo. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #combooffer #fyp #foryoupage #creatorsearchinsights

Denri_AfricaTz
Denri_AfricaTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 10:16:53 GMT
62509
3108
40
498

Music

Download

Comments

kelvinsagenge
Icekid255💝 :
hii my friend😅😅
2026-08-04 08:40:02
0
newtonhqh0
Newton Hqh :
okay okay
2026-08-04 07:45:39
0
futuremillionaires19
Future Millionaire Mind💸 :
Mchezo naupenda huu😂😂😂
2026-08-03 14:10:27
9
roshny909
Roshny :
nimecheka apo mwishoni😅
2026-08-03 15:05:15
7
issah.fighter
issah fighter :
messi kaingiaj apo tena😆😆😆
2026-08-03 20:13:38
4
tunechi_kicks
@tunechi_kicks_ke :
😂😂pwagu kapata pwaguzi
2026-08-04 10:51:39
0
breezy0441
🫪 BREEZY 🫪💱 :
daaah
2026-08-03 12:19:56
3
isaac.simba80
Isaac Simba :
Irene Irene
2026-08-03 10:30:08
5
seza.j
Seza J :
Hawa ukiangalia hyo ya mwisho hawawez kuvunja urafiki wao😂
2026-08-04 10:18:05
0
hendrymkenda379
Hendry Mkenda :
🥰🥰
2026-08-03 14:55:34
1
addylav1
addy :
part 2
2026-08-03 20:27:27
0
neylee505
neylee 505 :
vikobaa😁😁😁😁🙌🙌🙌
2026-08-03 10:31:47
4
baddie_mage
Maggie❤️😪❤️ :
hapo mwish sasa🤣🤣🤣
2026-08-04 07:18:43
0
user3900381255985
happiness :
ni irene woya
2026-08-03 19:13:58
0
kelly_albert_
Kelly Albert_🧢 :
content kali sanaa😂😂😂
2026-08-03 20:02:56
0
anney1842
annie :
apo mwisho sas nmecheka mpka nimezimia
2026-08-03 18:00:15
0
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About