@embassy_of_god: Post 18th

WhatsApp +255667848401
WhatsApp +255667848401
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 10:36:26 GMT
259002
13502
244
566

Music

Download

Comments

user91193376686038
kalex Samuel :
Every Holy word of our living God must be fulfilled
2026-08-17 04:04:52
0
edgertonga29
Eddie :
huyu motivation speaker anasemaje
2026-08-17 06:24:59
0
thamani_mining
Thamani Mining :
Tafuta eneo, fanya remote sensing Kisha fanya Field survey, chukua sample peleka maabara utapata majibu ya PPM. Anza Kazi, Tajirika. Katika vyote mtangulize Mungu pekee.
2026-08-16 02:28:24
38
cloud.star14
Cloud star :
Sio kweli hata kidogo,sio wote wanaopata madini wanaviumbe,wengine wa nguvu ya Mungu na wana win mda wote
2026-08-15 08:46:26
43
bg.sister8
Bg sister :
dunia na vyote ni mali ya Mungu
2026-08-16 13:39:17
6
mohamedi.msangi
Mohamedi Msangi :
hivi huyu ni mganga au mchungaji? nashangaa sana
2026-08-18 04:51:52
2
azole.mwakagosi
Ajm 47🌕##power of moon🌙,,? :
mp Acha kupotosha wat nakukubali Sana Ila apo umezingua kak
2026-08-16 07:43:54
4
prisca.gadiel
Prisca Gadiel :
mmmmmh 😳😳😳😳
2026-08-17 05:03:24
0
francisalubeto
Francis m.adam :
Mwamini Mungu tuu bila kuchanganya na chochote kile
2026-08-16 12:03:42
2
user50090452234541
user50090452234541 :
wote munao comments hamuijui hii kazi ni uongo mutupu sisi tuko humo hayo maneno hayana ukweri wowote
2026-08-14 14:59:41
7
oduormike3
oduormike :
Uongo
2026-08-14 21:48:09
2
joyce.usafi
mom of six :
sio kweli na sio wote wenye hizo imani wapo wanaochimba kwa imani na wanafanikiwa vizuri tu duuuh !!
2026-08-18 05:00:06
0
joskidmandela0
joskid Mandela :
ila ipm bwana
2026-08-12 21:07:26
2
salim_zzzzz
salim :
uwongo bhana
2026-08-15 10:15:04
6
user1194692018340
maragoli finnest king :
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kwa hili naamini 100 percent
2026-08-15 08:05:30
1
izzoujr88
Izzou jr :
Sio ppm
2026-08-17 12:04:46
0
bakora_jr
bakora🍀_jr👿👿💨 :
hakuna kitu kama hicho
2026-08-14 21:00:23
4
lukwaroelias
ELITE HUNTING GOLD TANZANIA :
SIO KWELI.
2026-08-14 19:13:14
3
bienvenu.mungu.ja
MWEMA MULTISERVICE :
uwongo Mungu ni yote ndani ya yote
2026-08-15 20:23:51
2
drawz75
Drawz :
sio kweli, wapo wanaochimba Bila hayo mawazo yako, wapo waliosali kanisani na wamefanikiwa sana.
2026-08-17 14:35:35
1
1987sonofloba
Benegino :
kwani ni biblia gani huwa mnasoma kwani mungu hakusema katika kitabu cha Hagai kuwa fedha na dhahabu ni za mungu?
2026-08-16 17:57:28
1
josephatbudza24
kamwendya brenda :
Apa umegusa point
2026-08-04 10:30:26
1
captainminja.9tz
captainminjaaa :
emuu mungu tuokoe atujue mtusikilize nanan
2026-08-14 16:18:37
4
natty.remo
Natty Remo :
akuna kitu kama hicho
2026-08-14 18:36:54
2
korro_man
Clem_korro :
Hii ni injili ya Yesu Kristo kweli? Mbona sisikii Yesu akihubiriwa.
2026-08-15 06:45:29
3
To see more videos from user @embassy_of_god, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About