@miriamaduma: #fypシ゚viral #fyppppppppppppppppppppppp #trending #viral #newlife

miriamaduma
miriamaduma
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 03 August 2026 11:01:47 GMT
175778
10300
513
194

Music

Download

Comments

0727918149ike
ikechuku :
hiyo sio nguvu ya mungu,mungu sio wa vitisho
2026-08-04 06:44:02
43
ruthsimiyu3
RUTH ⭐🌟✨ :
Hehe ni kubaya 😅Hao watu watafute Tu Ezekiel waombe msamaha
2026-08-03 13:57:38
62
user2277849158844
Reem :
Ezekiel wewe sio Mungu, please just preach the gospel of God,leave other things for God
2026-08-03 16:19:30
22
newfashions47
newfashion collections :
ishaa zimwa ntv sku hz hakna
2026-08-03 11:40:06
30
blessedforareason.1
💚Imani. :
Nani ako Nairobi twende hii holy communion ya new generation
2026-08-06 08:00:04
7
candyguy416
candy guy :
hatukatai but in God there is no revenge,samehe mara ngapi???
2026-08-03 14:45:13
7
sauti82
sautiyafarajashanzu :
kwa hivyo nguvu za Mungu ni za kuzima tv stations! pity
2026-08-04 16:32:30
9
mamainnocent5
kwambosh :
pastor ukizima Media unizimie pia huyu neighbor wangu anakuongea vibaya sana
2026-08-03 18:52:18
28
voke908
KING SHIJEDI :
vengeance belong to Jehovah 😂
2026-08-03 15:51:45
5
maaaa388
maaaa2312 :
ata mungu hakuwa na visasi na adui zake
2026-08-04 05:47:33
11
gods.childs76
Baba Twin ❤️‍🔥 :
citizen TV
2026-08-03 12:14:04
13
jacknyongesa10
Jackson :
So we are not supposed to forgive?
2026-08-03 13:52:32
7
user46384598155447
Jose :
Mungu haezi zima station juu pia media husaidia wafanya kazi
2026-08-03 15:52:54
8
2026scopion
phinex kumelo :
hii ndio gospel sasa🤣🤣🤣
2026-08-03 16:27:08
10
corneliusmwaisaka
CORNELIUS MWAISAKA :
Mungu anauwezo juu ya mamlaka yote
2026-08-04 14:00:55
1
teresakwamboka815
Teresa kwamboka :
kwani hujui msamaha
2026-08-05 09:48:40
0
user5925743036063
SYLVIA MTESH NEW LIFE :
ata mm nazima ndoto za maadui wangu
2026-08-04 19:23:29
6
user5925743036063
SYLVIA MTESH NEW LIFE :
kuna watu wanafikiria hes joking ,wenye waliongea uongo kuhusu ile case yake ilibidi wakamuombe msamaha
2026-08-04 19:24:37
6
61israel0
Oracle 610. :
sometimes we pasta we lack wisdom, ikizimwa wale watu wanafanya kazi uko utawalisha?? let God fight our battle
2026-08-03 21:36:04
3
user4111985295027
modector :
zima hii simu yangu nikuamini
2026-08-03 18:07:50
2
user2793458834622
grandfather :
hawa wahubiri wa Kenya mtatutisha Hadi lini? mnatuona wafala ama Nini kweli?
2026-08-04 06:50:36
4
rodgermillah123
Rodgermillah :
imeandikwa samehe mwenzako. sasa fanya hivo
2026-08-03 22:09:33
4
winnie_ekea1
Annita :
who was Jesus? and what did we learn about him?are we followers or God's?
2026-08-03 20:05:09
3
bonybony20200
Bony mpenda amani :
Izimwe kabisa, Christianity is power
2026-08-04 07:49:42
0
user5041978104261
luxi cool :
wazimiwe waliumiza sana moyo wangu
2026-08-05 02:21:24
1
To see more videos from user @miriamaduma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About