Aaah nilistuka pesa unatoa wp kumbe Unafanya kaz Ayaa😂😂😂
2026-08-05 15:19:10
0
fazilaa :
niajiri boy friend 😁
2026-08-05 20:21:46
2
JY wanamantz### :
one day yes
2026-08-05 16:25:42
0
Baba e :
brother umetishaaaaaaaaaaaaaa
2026-08-05 10:03:18
0
PALOKO ✝️🏥 :
mungu nisaidie na mm niwe kama huyo
2026-08-03 18:58:36
21
JUNIOR :
Pesa nyumba na magari ni vitu vya kupita ila hakikisha vinapitia kwako 🙌
2026-08-05 18:31:09
12
cute lips :
uyu kaka lizur anaweus fulah hv wakuteleza🥰
2026-08-04 10:06:19
7
bahat nyelele nonga :
kwann
2026-08-03 20:15:23
0
hsmussa :
Sasa mbona mnatuchanganya, tutafte hela au tutege hela
2026-08-04 15:06:21
4
Farhiya& ESTHER :
naomba ninunulie biblia basi 🙏🙏
2026-08-05 07:30:15
0
eva eva :
nitumie basi 10000
2026-08-04 16:02:58
0
Stella Emanuel :
kaka nataka kuja kufanya usafi tu kwako
2026-08-04 09:33:46
4
NICE BOY :
iyopesa imenaswa
2026-08-04 06:27:05
0
Enjoy younga💛💛 :
sikiliza kaka ang Kuna kitu nimekiona nambie uko wapi nije
2026-08-05 16:48:45
0
asajilejr :
hii ndo heshima ya mwanaume
2026-08-04 11:29:38
0
johnsonkusaya :
viongozi wa serikari wakiona hivi wanajua watanzania wote wanazo,na ndio maana wanasahau majukumu Yao kwa wananchi
2026-08-05 18:18:09
0
G :
ila comment za wadada zinafulahisha sana 🤣🤣lakini msikate tamaa kuweni na bidii kufanya kazi mtatoboa na nyie siku moja ,🙏
2026-08-04 14:25:02
1
Ms B 😍 lovery :
lipaa
2026-08-03 12:45:01
1
chiomah♥🫦 :
kaka naomba unioe
2026-08-04 15:23:58
0
Hellen George :
Ila haya maisha
2026-08-04 12:04:25
0
dir.kajoboy🤿 :
ni kweli pesa inatekwa
2026-08-04 08:54:12
2
tobias joseph :
💯
2026-08-03 20:14:37
0
Damber madin🤫 :
Kiongoz
2026-08-03 20:35:45
0
official Mtoto p :
yani mimi toka nipo madogo nasoma ndoto yangu kuwa muuza madini hadi saiv natamani kuuza madin ata kuanza kidogokidogo tatizo konection au bro nikufuate
2026-08-04 10:55:38
1
Alfred Lymo :
vp bro
2026-08-03 22:03:17
2
To see more videos from user @fahady245, please go to the Tikwm
homepage.