inategemea na shida yenyewe bhana huwezi ambiwa na rafiki yako kapata msiba eti umcheke ndo umsaidie 😂
2026-08-04 08:49:31
67
fetylyzzer 🦋🦋 :
Wooozah 🤪
2026-08-04 10:20:25
0
chita girl :
uyu ni mimi napenda sana kucheka cheka
2026-08-04 06:41:10
39
shebyboy😎🤫👊 :
me na wa kwangu ata kama kitu na cha serious lazima acheke cheke kwanza dah😅😂😂😂
2026-08-04 07:21:01
9
AASHIQKIM :
😁😁😁😁😁😁
2026-08-04 10:44:30
4
Fifinaa75 :
inategrmea na NTU Na NTU sio wote
2026-08-04 07:28:27
15
~~Merry love🍹🛍️🦋 :
kumbe nimemucheka rafiki angu kapoteza simu
2026-08-03 14:23:15
31
ms Rhoda :
Rafik yangu alianguka mbele za wa2 na 2likuwa wote nilichofanya nilienda kumshika mkono ili aamke lkn alivyo niangalia tu uson nikakosa uvumilivu nilicheka mpak akakasilika akaniachia akaamka kwa hasira nakuondoka. kwani me kosa langu liko wapi🥺. apa ninakazi ya ku2ma sms za kunisamehe kam nimefukuzwa kazi😅
2026-08-04 09:09:17
12
I am Zoey🤍 :
huyo rafk ndio mm🤣🤣 ntacheka kwanza af
ntaanza enhee ilikuwaje
2026-08-04 05:09:33
12
Doreen store :
ndo tabia yangu kucheka kwanza
2026-08-04 07:41:30
3
dkt shikah 🦋 :
Mm huyoooo kwa kweli sijui na pepo la kucheka😂😂😂
2026-08-04 07:06:53
3
SAILOR ⚓ :
sahihi kka
2026-08-04 10:55:00
1
nahmzy :
Ndo ujibu comment zote😁😁😁
2026-08-04 07:59:21
1
LIANN🥰👄 :
Sis tuna chekan kwanz😂😂😂😂
2026-08-04 09:52:41
1
Kimario's daughter 🌸 :
rafik yangu anajikaza kuchek alfu anacheka kwa nguvu 😂😂😂 utasikia nimekaza nimeshindwa ngoja nicheke😂😂😂😂😂
2026-08-04 03:37:31
6
mlima_tz :
kweli kabisa
2026-08-04 10:04:19
1
Mamdo :
inategemeana dear.sio kila rafiki anaeumia unapomuelezea matatizo yako bc ni mnafik
2026-08-04 08:22:10
3
Kimy gel🌺 :
ila kweli🤔
2026-08-04 07:46:21
1
dolline :
mimi huyo ila sina rafiki😂
2026-08-04 07:07:43
1
Minah kadala :
sisi huwaga tunachekana kwanza alafu tunasaidiana na matusi juu
2026-08-04 07:27:54
2
Ever - white ✌️❤️ :
😂😂😂😂😂inategema naumia na nin bhna
2026-08-04 08:48:38
2
Slay_with_nay :
😂😂😂😂Najiona mm kabisa 🤣
2026-08-03 20:13:42
1
broken heart 💔 :
ndo nachopitia kwa my sister
2026-08-04 06:53:00
0
To see more videos from user @belladonn22, please go to the Tikwm
homepage.