@kishkionlinetv: DAR ES SALAAM: Wenyekiti wa Chama cha Waendesha Utalii Tanzania (TATO) akizungumza katika uzinduzi wa Nyenzo za utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 3, 2026. - ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako

Kishki Online TV
Kishki Online TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 11:55:50 GMT
108804
4194
76
134

Music

Download

Comments

respich_
LIFE IS ART :
hajakosea Muheshiwa Raisi ni Kamanda.
2026-08-03 14:12:12
37
ellihurumasamwelly
MR.ELY✅ :
mwamba ana confidance hatr
2026-08-03 18:56:53
0
rich_bn_rich
Rich_bn_Richard :
watu sahihi wapo weng tatzo wapo nje ya system
2026-08-03 15:42:59
51
seiftango
Tango adventure :
Mwamba anafaa kuwa Waziri wa Utalii , anajua utalii kuliko waziri mwenyew😁
2026-08-03 17:54:27
49
tommyleemuendow1
TommyLee 🪙🇰🇪 :
i like this guy, very smart
2026-08-03 17:00:18
1
s.dkm5
Shedrack :
ukiwa na ela hata ukikosea watu wanacheka ila ukiwa huna anatokea usalama wa taifa apo nyuma anakusukuma 😂
2026-08-03 16:16:52
20
user7707868173865
mussa thomas :
huyu Mzee anamalengo mazri na hili taifa
2026-08-03 17:56:43
11
munisi829
munisi :
huyu ni mchaga au ni kabila gani
2026-08-03 17:31:36
8
chad_mbugi
chad_mbugi :
Huyu Mzee ni mtu makini sanaaa
2026-08-03 16:54:15
10
godwin6272
Godwinkainamula :
Husipo lipa Kodi ni mwizi 🫶👍🇹🇿💪
2026-08-03 14:41:47
6
best_design_fashion
best_design_fashion :
Huyuuu baba namkubaliiiiii saaana👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
2026-08-03 15:54:32
6
agathonyanthony2
Mr Thony :
kamanda
2026-08-03 16:22:57
0
user2252817835177
Omega :
Huyu mtu apewe wizara ya utaliiii
2026-08-03 17:37:03
3
user5281804754024
champion :
Yaan atakama unakicheko lazima ucheke tu😂😂
2026-08-03 18:01:00
1
naazizi.muniss
Naazizi Muniss🇱🇧🇹🇿 :
mombasa kashesema🥰🥰🥰
2026-08-03 18:24:20
2
reydad5
Lucas Jr :
hii ndo lugha ya marketing
2026-08-03 17:02:49
2
asiat_habeeb
asiathabeeb :
Nakupenda. HUKO vizuri
2026-08-03 14:46:53
2
naser5662
Naser75 :
huyu Mzee apewe uwaziri wa utalii
2026-08-03 18:38:06
0
user9032761815614
user9032761815614 :
Chamburo uko vizuri Sana kwenye UTALII, ni mtu mkweli sanaaa
2026-08-03 15:04:14
6
emanuelirafaeli43
Bila kuchoka :
nataka niyooonee 🫡🫡🫡🫵🤝
2026-08-03 19:11:40
0
flowerdar123
flowergirl :
Arusha moja hiyoo👍
2026-08-03 18:46:06
0
wellydizzo
WellyDizzo :
wachaga hatujawahi kushindwa
2026-08-03 18:46:31
0
abdulghan.1
abdughan :
Fact kabisa
2026-08-03 18:22:29
0
barakamnzava
Baraka Mnzava :
point umeongea
2026-08-03 18:24:04
1
ossah64
ossah :
Sure
2026-08-03 14:36:53
0
To see more videos from user @kishkionlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About