@busybeeonyiegoo: Msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Platnumz akiwa hospitali ambayo Zuchu amejifungulia alimsanua Rayvanny kuwa Tiffa Dangote amezaliwa mwezi wa nane kama mdogo wake. Nikukumbushe Zuchu amejifungua tarehe 1/8 siku ya jumamosi kwa maana hiyo Diamond watoto zake wote wakike wamezaliwa mwezi mmoja . ''Tiffa naye kazaliwa mwezi wa nane ''Amesema -Diamond Platnumz