Mungu wa dini ni uongo tu. To me, existence is the eternal, infinite consciousness taking different forms -- trees, humans, and so on -- to experience itself.
2026-08-03 19:52:32
0
Ayoub Mwaya :
beautiful
2026-08-03 14:52:20
0
Trade-CODE :
Nakubali kabisa…i think this is the perfect REASONING
2026-08-03 19:37:48
0
Rachy_sk🌟 :
Awakening tunaongezeka i love what i see 😍
2026-08-03 18:26:29
1
Mrs Zubery🦋 :
mhh uku napo nimefikaje jmn mbn mbali hv
2026-08-03 18:33:44
20
Grace_validated :
Tunamsifu na kumuabudu hatumtetei
2026-08-03 17:51:24
12
Mkwelele :
mungu hakuumba binadamu isipokuwa binadamu ndio wamemuumba mungu ndio maana inabidi wamtetee.
2026-08-03 19:26:16
12
jaynah bae :
YANI MUNGU ANIUMBE HALAFU HUYO HUYO ANICHOME...ASA ALINIUMBIA NINI
2026-08-03 13:45:28
69
msouth from south :
ALLAH AKBAR 🙏🙏💯
2026-08-03 18:31:30
8
Nursham Uwesu :
AFYA HUA INA JEURI KWELI.
2026-08-03 19:52:32
9
Black :
Achana na hao watu wasiojitambua. Iko siku watajua ukweli. Kila mtu na ajue anachokijua yeye 💚
2026-08-03 17:17:25
13
sweetie ♒ :
me wananikera sana wablock wote wanajifanya wanajuaji na upuuzi ndo umewajaa
2026-08-03 13:10:17
21
Negow❤️🦋 :
Hamna aman kama ukitoka kwenye madini😁😁 yaaan unakuwa free..
2026-08-03 19:04:53
6
Bi Amina KPM♒ :
Mwalimu achafukwa leo 😂😂😂 watuache jamanii na mizimu yetu🙏
2026-08-03 14:48:05
18
🅶🅷🅸🅽🅸_☦️ :
MUNGU atabaki kua MUNGU tu ayo mawazo yako nisahii kwaupande wako but hakun anaemuhukum mtu isipokua kukumbushana tu ko unawez kuchagua uishi kwa miongoz yake MUNGU au kwa miongozo yako binafsi coz mtu asieamin ataumuoneshee ile ni rangi nyeusi yey bado atabish nakubaki namawazo yake🙏🙏
2026-08-03 18:04:32
7
SALMA🤍 :
😂😂😂Ila huku nako pamoto
2026-08-03 12:34:23
8
aimlucky :
yaan mtu unajiuliza mungu achague masikini na matajiri kuna watu awabariki alafu wengine wasipewe
mungu gani mkatili hivi
awaache watoto wadogo wanaumwa alafu watu wanaombiwa wadhambi hawaumwi inatafakarisha sana
2026-08-03 13:04:10
9
nasra Muslim :
jmn waislam wenzangu takbirii
2026-08-03 21:49:56
2
Femandeka :
Umenifanyia Niku follow Mwanangu Yaan najiskia Raha tunakuwa Wengi ipo siku watatuelewa Dada
2026-08-03 21:56:02
3
Kaimamtooabdy :
duuuuh ni hatari unajiamini aiseee
2026-08-03 18:22:44
3
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm
homepage.