Ungesema Dunia ya Sasa kila mtu ni mwizi ningekuelewa, Sisi mafundi pia tunakutana na maboss wezi, matapeli n.k🔥😳
2026-08-04 09:31:05
6
sangamusa :
brother brother 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-08-04 03:53:03
0
milado kisailo :
mafundi magari sio wezi
2026-08-04 07:10:54
2
kamwisi TZ :
sasa kama mnaomba kupunguziwa bei sisi tufanyeje
2026-08-04 04:41:58
3
Digalla construction :
pamoja na yote hapo kaka nakuunga mkono asilimia 70%.si Kila fundi mwizi hayo yote hutegemea akili ya fundi mwenyewe lakini pia hata boss.
1.kuna fundi mwenye asili ya wizi
2.kuna fundi feki au mwenye akili ndogo ya kufikiria anashawishika
3.kuna fundi akikupa halafu ukaleta bei zako hafanyi kazi Yako huyu hata kukuibia hawezi maana Kuna kaukweli ambako maboss wengi hawamjui
4.Njaa mara nyingi huwafanya wengi kwenda nje ya makubaliano na kujikuta wanaiba bila wao kupenda
2026-08-04 06:29:00
4
Chifu TZ Chifu tz :
kaka unatoha siri ya ufundi sasa
2026-08-04 05:55:04
3
Dullah Hassan :
Sio wote kaka na Hao unao wajuwa ngoja nikupe mbinu za kutoibiwana na mafundi wako
1 usijifanye mjuwaji
2 Kubali kushaulika
3 Punguza milio kwenye kupatana kwenu
Mahake akuna kitu asicho kipenda fundi kama upande wakulipia material unakuwa umenyooka alafu kwenye mapatano ya ufundi unakuwa mzito kumuelewa nakunzingatia anachokitaka ukiwa na tabia izo Lazima fundi atafute nanma yakujilipa tu
Mfano umekwenda dukani kununua nae taa ya sh/= 450,000
Fundiwako unamkomali akufungie kwa 15000 ivi unais sikuengine atakuacha salama uyo?
2026-08-04 09:57:12
1
Fundi Baraka :
Uwongo huwooo hakunaa
2026-08-03 14:35:04
6
Joh :
sasa fundi kujenga ananiibiaje na nna shinda site?
2026-08-04 01:11:58
2
vijite :
waliokua sio wezi tupo a/c
2026-08-04 07:49:25
0
Hassan Makeha :
umeamua kutuchoma kaka 😂😂😂
2026-08-03 22:52:59
2
P.work shop :
umetuchoma kaka wataelwa
2026-08-03 20:28:25
2
Hd Decoration :
nipo napga tiz🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️
2026-08-03 20:47:16
2
G.Black King :
boss anatakiwa atoe Hela nzuri asiibiwe
2026-08-04 04:24:13
6
ndonamtui fundi rangi :
sisi wa rangi hatuibi Fogo😂
2026-08-03 20:25:56
0
Benard Boaz :
Mabos mabahari ndo wanaibiwa.
2026-08-03 20:18:12
1
Shebby Makabila :
tunaiba ila atukabi mtu kinamna tu mwenyew unatoa kbundra
2026-08-04 06:41:29
1
DULLY TZY ELECTRICAL GROUP :
unatoa sir sasa
2026-08-03 13:10:46
3
kigahe pooltable Mbeya :
hata ukinipa mtaji nijenge nyumba yangu bado nitaiba tuuuuuuu😅😅
2026-08-04 03:02:13
0
Abdul mech⚙️🛠️ :
Shida nn kaka 😁😁😂 tushajielewa sasa, but unapaswa kujua nothing impossible under the sun ko yalikuwepo toka mwanzo
2026-08-03 19:44:33
2
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm
homepage.