@madiniplus_: Mfanyabiashara na mdau wa utalii Willy Chambulo akizungumza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine, anasisitiza kuwa lengo kuu la sekta ya utalii ni kuhakikisha watalii wanaoingia nchini wanatumia fedha zao zote kabla ya kuondoka—na hata ikiwezekana wakope fedha zaidi ili kukuza uchumi wa ndani. Full Video, Madini plus | YouTube
Mzee amesahau kuwa kiwanja cha ngumu itakuwa a risk ktk business cycle ya Northern Tourism circuit. (Economic perspective to be referred)
2026-08-03 18:04:18
2
Salimjkj :
Yes sir. uko correct, Kenya side was set and ready by TZ side mulikataa.
Secondly, by reducing time of traveling from Mara to Serengeti, separated by imaginary line cost not only a day of travel but costs too hence making them cover both areas at affordable prices.
Thirdly, yes we need to keep the guests to stay more hence spend more
2026-08-03 20:36:42
0
peleus@2008 :
mzeew,ni Governor
2026-08-03 17:07:38
0
7880 :
Very true
2026-08-03 16:00:03
0
user1505359949527 :
huyu mzee serikali mtumieni ana madini
2026-08-03 17:03:40
3
Jimmy lucas504 :
Mmh hapo kwenye mkuu kamanda kuna kitu nishanusa 😂😂
2026-08-03 17:33:06
0
user13404587261431 :
Hi ni mashine wakuuu
2026-08-03 17:12:45
2
Nkendsonjrrr🇹🇿 :
mzee nomaa san
2026-08-03 13:43:00
0
Gole Tz :
uyo Father anauwezo mkubwa!!
2026-08-03 18:36:07
0
peleus@2008 :
huyo mzeew ana DAMU kama YANGU.
2026-08-03 17:05:05
0
jovy :
😂😂😂
2026-08-03 19:22:33
0
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm
homepage.