@hopnews_tz: ๐— ๐—ก๐—”๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—ฅ๐—จ๐—ญ๐—จ๐—ž๐—จ ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ก๐—œ๐—ก๐—ฌ๐—œ ๐—ก๐—œ ๐— ๐—”๐—š๐—œ๐—”๐—ก๐—ง ๐—›๐—”๐—ฅ๐—จ๐—ฆ๐—œ ๐— ๐—ก๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—›๐—˜๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข๐—ฃ๐—ง๐—” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitatoa ruzuku kwa Sekta ya Madini kwa sasa, akieleza kuwa Wadau wa sekta hiyo wana uwezo wa kujiendesha na hivyo hakuna ulazima wa Serikali kutoa fedha za kuwasaidia. Rais Samia amesema hayo leo Agosti 3, 2026, wakati wa uzinduzi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika Ikulu, Jijini Dar es salaam. Akizungumza na Wadau wa sekta hiyo, Rais Samia amesema baadhi yao wana uwezo mkubwa kifedha kiasi cha kufanya harusi kwa kutumia helikopta, hivyo haiwezi kuwa sahihi kwa Serikali kurejesha fedha wanazochangia kupitia kodi kwa mfumo wa ruzuku. โ€œUnataka ruzuku itoke Serikalini wakati nyinyi wenyewe ni magiant, harusi mnazifanya kwa helikopta, halafu kile kichache mnachotupatia kwa ajili ya miundombinu tuwarudishie? Hii hapana, naikataa hapa hapa,โ€ amesema Rais Samia. Hata hivyo, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika maendeleo ya sekta hiyo, ikiwemo ujenzi wa Soko la Kimataifa la Madini, ambalo amesema linaendelea kufanyiwa kazi.

Hopnewstz
Hopnewstz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 12:47:31 GMT
57025
1368
69
141

Music

Download

Comments

oficalzaxtztz
ZAX OG OUTFIT :
wakatolo washatupoza jmn
2026-08-03 15:55:00
33
saidat428
Saidat :
Madhara ya kufanya vitu kwa sifa ndio hii sasa...
2026-08-03 13:39:21
19
user8881678249338berna
benadeta :
hv mama kumbe upooo
2026-08-03 15:17:53
17
babacharity2mtupori
charz mtuPori :
sifa zimewaponza na wengine
2026-08-03 13:43:50
17
cut.isabella
cut Isabella :
hee! watu wasifurahie ndoa zao?๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
2026-08-03 14:12:23
11
suncheez94
suncheez :
hapa hatuna kiongozi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 06:26:04
1
user4703441420441
alice :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜yaani hii nchi tafuta ela kwa Shida ila usifrahie
2026-08-03 14:52:17
17
salome_collection0
Salome collection :
Msitupagie jinsi ya kufurahi hujui tumesota kiasi ngani?
2026-08-03 16:25:20
15
harunanuruamiri
Haruna nuru :
msipangie watu jins yakutumie pesa zao
2026-08-03 17:57:26
2
mursheedy
Muu :
mm naomba apunguze asimilia ya payee
2026-08-03 15:06:48
6
user1635615184855
user1635615184855 :
sasa mkuu wanaofanya sherehe na izo edipota n wananchi wako wote usiangarie mtu mmoja mmoja n watu wachache wanaofanya ivyo CYO wote usitoe izo ruzuku
2026-08-03 15:53:31
5
donjohnson_17
donjohnson_17 :
Watu wa katoro wametukosesha Ruzuku dah๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜‚
2026-08-03 18:53:56
2
elisha.samwel43
Elisha Samwel :
mpenda sifa haogopi hasara.
2026-08-04 04:15:56
0
mage80832
mage :
2026-08-03 13:48:31
0
imakulataonesmo
Imakulata Onesmo :
helcopta tu???????????????????????? mh
2026-08-04 04:22:17
0
bonidena
dee :
saiv akuna mambo ya ruzuku wkulima hp kazi hipo
2026-08-03 15:12:54
1
maikor186
maikor :
katoro walipe den la taifa
2026-08-04 01:38:12
0
suncheez94
suncheez :
Tz tunatia aibu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-08-04 06:26:21
0
barakamuro437
BBM437 :
wakasaidiyane wenyewe kwa wenyewe
2026-08-03 18:19:10
0
user2772143210866
baraka mbughi :
jaman mbona kama mama hela za katoro zinamuumiza bas wakulima tumeingiliwa kununua mbolea kilo 50kwa laki
2026-08-03 18:22:31
0
heisdrizzy_
๐Š๐ข๐ง๐ ๐–๐š๐…๐ข๐ซ๐ฌ๐ญ๐˜๐ž๐š๐ซ :
hajApenda
2026-08-03 19:45:46
0
magreth978
pretty ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜˜ :
ila bongo aaaah
2026-08-04 16:54:45
0
estherlyimo_
esterlyimo532 :
kwani tunanyimwa ruzuku sisi hata ndoa hatuna
2026-08-03 19:11:01
0
user8517537451997
Offically @mmy :
GsM ushatuponza
2026-08-03 18:35:22
0
user3658815433594
user3658815433594 :
upoo vizuri uduguuuu
2026-08-03 14:17:58
1
To see more videos from user @hopnews_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About