@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Baadhi ya Wanawake Ambao Wapo Katika Ndoa Wamekua Na Tabia ya Kutojua Ni Wakati Gani Sahii Wa Kueleza Matatizo Yao Baadhi ya Wanawake Wamekua Wakitumua Muda Wa Faragha Ambao ni Muda Wa Tendo la Ndoa Kueleza Matatizo Yao Yaliyopo Katika Familia Au Ndoa Yao Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Wanawake Waliopo Katika Ndoa Kufahamu Muda Sahii Wa Kutambua Na Kueleza Matatizo Yao Ya Msingi Ambayo Yatasaidia Kupunguza Kero Zilizopo Baina ya Wanandoa Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amekua Akitoa Elimu Juu ya Mwenendo Wa Sasa Wa Wanandoa Na Umuhimu Wa Kudumisha Amani Baina ya Wanandoa Na Kupunguza Visa Vya Wanandoa Kuachana