dada unajua aseee unapika afu sio mchoyo wa recipes😊
2026-08-03 22:10:25
3
Zale Collection🩰 :
upate na kachumbari na samaki mkavu
2026-08-13 09:16:12
4
Catherine Nnko :
nataka leo nipike hii kitu
2026-08-09 08:14:00
2
Jokha seif :
mashaallah samahan unaweza kutoelea na nini kipenz
2026-08-16 16:37:16
1
mama mkwe wa taifa🤗 :
siwezi kunyima comment 🥰
2026-08-05 17:25:41
1
Zawadi Issa :
ninependa jiko
2026-08-04 04:38:14
0
cosy :
nimependa sufulia
2026-08-03 17:11:47
1
rayna :
kameslap🥰
2026-08-07 06:46:18
0
mimamuna :
mashallah utam mpk bas apo kanazi kamekolea htr mwenetu👌
2026-08-03 16:23:25
1
Mohamed Akidan :
Pika na mseto wa maharage 😋😀
2026-08-11 17:57:07
1
Catherine Nnko :
jana nimepika hii kitu jaman familia nzima walifurahia chakula mno, asante sana chef Mungu akuweke dada yani nitakuwa nakuja kwenye page kuchungulia chakupika mapishi yako simple naniyaviwango vya juu sana
2026-08-10 13:56:41
1
Catherine Nnko :
mtu aniambie pembeni naweza kula nanini? ya ili chakula kisiwe kikavu sana
2026-08-09 08:13:49
0
_estherbakery :
Ningewapikia hii wakwangu sema hawapendi njegere tena wanaziita njengere😂😂nachoka mm
2026-08-12 10:12:20
0
Catherine Nnko :
wengine wanatoa mafunzo magumu mpaka unajiuliza huyu anatufundisha au analingishia alichopika.
2026-08-10 13:57:56
0
Mega :
❤️❤️❤️
2026-08-03 15:19:17
0
Habibty🥰 :
🥰🥰
2026-08-04 08:08:53
0
Me too❤️ :
❤️❤️🙏
2026-08-06 17:24:28
0
wemahosea355 :
😳😳😳
2026-08-30 03:41:22
0
To see more videos from user @salome_chef, please go to the Tikwm
homepage.