@emmanuel69973: Kuna baadhi ya Nyimbo ni Matusi kwa Roho Mtakatifu @Mwl Onesmo Prosperity

Prince Of Heaven
Prince Of Heaven
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 15:06:50 GMT
22997
2052
82
88

Music

Download

Comments

brightfuture3057
bright future @ biruta :
Job was tortured and he still had faith in God hiyo wimbo huwa naomba Kila siku asubui bana na huniguzaa
2026-08-03 20:14:02
0
saraphina984
TinahPius :
finally i heard this be blessed servant of God
2026-08-04 09:00:49
0
user430430729924
The Global problem solver :
Wow, this is the message I was need to hear today♥️♥️Thankyou Lord
2026-08-03 19:52:56
0
ptb0660
PBM blessed :
bible has various coaching
2026-08-03 19:58:11
1
peacebisimwa
peacebisimwa :
woooow woooow wooow woow🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-04 05:56:34
0
zurr0229
Zuri :
asante 🙏 🙏
2026-08-03 18:58:36
0
mbiseemanuel
Emanuel Mbise :
mzee achana na nyimbo za watu, nakukubali ila Kwa hili🤔🤔🤔🤔
2026-08-03 19:48:42
6
user24942637548628
phinah :
Tutaimba mpaka na sis tuvuke Salam ktk Jina la Yesu 😌
2026-08-04 12:44:53
1
user20466384865238
kisura :
Na wewe hayo unayosema yameandikwa wapi mwanetu. Mi nimeuiza tu lakini...
2026-08-03 18:48:47
4
ayoijoo
𝐄𝕝𝕚𝕒'𝕤 𝐒𝕥𝕖𝕧𝕖𝕟 :
samahani. ingawa shetani hataniseta ni TE Zi usiingilie izo nyimbo za vitabuni tafathari mwanadam lazima apitie majaribu na iyo inamaana ya kumtia moyo
2026-08-03 19:22:26
3
ashlee.issah
Ashlee Issah :
Exactly kumbe huwa nipo sawa kuna manyimbo siimbagi kwa kweli
2026-08-03 17:53:30
10
janed027
user2961580755863 :
kweli kabisa mtumish
2026-08-04 13:01:44
1
mandewe1
mandewe :
Duniani shetani anatesa watu wa Mungu kwa vikwazo vingi, lkn watu wa Mungu wanajipa moyo wakiamini Mungu yu upande wao.
2026-08-03 18:06:27
5
samwelpj
OLE JAMES. :
Nakubaliana na wewe mwalimu sana tena sana kwa baadhi ya nyimbo ila hiyo ya ingawa shetani ataniteseka mbona kama ni sawa maana naamini waliteswa, wakajipa moyo mpaka siku wamefika kwako ukawasaidia wakapona. Lakini pia sidhani kama ni rubbish kwa wale wanazotumia labda kwako kwa namna ulivyofunuliwa. It is just my view.
2026-08-04 07:33:50
1
user5059482520517
glorious🎻💸 :
Ata mimi kuna nyimbo nikiimba nabadilisha baadhi ya maneno.
2026-08-04 10:42:44
2
malikiarecho
malikiarecho :
Na hili ndilo neno la leo Asema BWANA Sema Ameeni
2026-08-03 19:03:04
2
pascalbenard04
pascalbenard04 :
Lakini huo wimbo hata wewe uliukuta pengone kabla hujaokoka munatuchanganya wachungaji kila mtu anahubiri yanayomjia kwenye kinywa chake
2026-08-04 05:04:19
0
kidott.dodoma
Kidott Dodoma :
mnatuchanganya nyie
2026-08-03 19:53:51
2
judy.jidenna.judy
Judy Jidenna Judy :
Bora Bora MUNGU ametulete huyu mwalimu..👏👏thank you God 🙏🙏
2026-08-03 18:01:47
2
user3422402657333
chanilacosimas :
kwahyo alipo sema tuimbe zabur na tenzi.haifai au hizo ziliimbwa enzi hizo.swali jamani.ukiokoka hakuna majaribu au mateso.kupimwa kiiman.hyo imekaaje tusaidieni
2026-08-03 18:41:58
0
kakuh69
kakuh :
ubarikiwe baba
2026-08-03 16:15:52
1
user7987802453250
Israel ✝️🕎✡️ :
siyo kila mtu atakuelewa mtumishi
2026-08-03 20:19:42
3
regina.rutazamba
Regina Rutazamba :
Watumishi wa sasa mnajua kutuchanganya, sasa unafikiri mafundisho haya yatawafikirisha nini watu? Huyu mtumishi anafundisha vyema, lakini sometime anasagia watu, usinange watu utawapoteza kondoo, hiyo sasa ni miruzi mingi, watu wapo wenye mateso sana tu.
2026-08-03 18:26:47
1
mayrah0256
mayrah :
ameni
2026-08-03 15:46:08
1
julius.jjj7
julius jjj :
Amina
2026-08-03 15:54:34
0
To see more videos from user @emmanuel69973, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About