@wiriplusedecoration:

wiri pluse decoration
wiri pluse decoration
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 15:11:51 GMT
89894
1365
126
105

Music

Download

Comments

luciana.gabriel8
Luciana Gabriel :
aende fundi? tunaenda wote kununua aisee....mafundi wezi😂😂😂
2026-08-08 07:51:45
106
tazyis
tazyis :
😂😂😂 Nan ampe fundi hela😂😂 kwan hatuwajui
2026-08-08 17:30:33
24
fatmaa.mohammed
Fatma :
lkn fundi wengine wanakuibia, labda muende wote
2026-08-08 18:58:06
9
mirrystore
Mirry :
Michezo
2026-08-08 16:58:28
5
danielmwandala
DannyThePlanner :
Ni kweli mafundi wengi siyo waaminifu.
2026-08-04 15:20:12
16
lincyjane
lincyjane :
weee naijua hiyo tunaenda ote muguu kwa muguu tena kwenye duka ambalo halijui maana anaweza kumuuambia muuza duka nakuja na boss kitu cha 20000 anambia uje useme 45000😅
2026-08-21 17:34:45
1
anna.shop2977
anna shop :
urembo kama huo unafanya bei gani
2026-08-05 18:22:10
1
njzeux22
prazey :
Ntampeleka fundi dukani mwaya
2026-08-08 16:28:51
0
husnayakub
husnayakub :
tatizo hamuaminiki ,tunaenda wote dukani tununue hiyo original unayotaka
2026-08-10 14:08:41
2
mayrah.gadafi
🦋BabyChimamy🇴🇲 :
Kwa nin usiende nae ulimwambia twende wote akakataa
2026-08-07 05:48:08
6
irene.mboya7
Irene Mboya :
mmh
2026-08-05 13:57:27
0
sajdat_wedding_dresses
sajdat_wedding_dresses :
mi tutaenda woteee ndio mnatuibia😆😆
2026-08-08 18:53:44
1
irymener
ms. minah🍂 :
Sasa mashangazi tumewakosea nn😂😂😂😂
2026-08-08 19:41:05
0
khamis7314
khamis :
Tazizo wengine wapigani kaka
2026-08-06 14:31:30
2
dionestermwinuka
miss dion :
😳😳😳😳@mimi mwenyewe unanikela hata unavyoongea na mimi fund wa hivi hata simtaki fundi wangu tunaenda naye kabisa
2026-08-08 14:01:13
2
aidaulomi92
aidaulomi92 :
Mafundi wengi ni wapigaji ndiyo maana hamuaminiki.
2026-08-08 09:25:10
2
promax.255
SKY VIEW* :
mafundi wengi wapigaji mno
2026-08-07 13:16:37
1
raas_raah
Raas_cakes :
Sasa ntanunuaje kitu feki kama utaniandikia list yote wewe….ni Mimi kwenda dukani mwenyewe tu kuitisha kila ulichoandika wewe 😅🤣
2026-08-08 13:30:24
3
blessed_lady4
Blessed lady 🇹🇿🇦🇪 :
Samahani kaka kazi yako ni Nzuri sana Ila angalia maneno ya kujieleza hapa our ndio Katanga biashara usijiarbie ongea maneno ya biashara
2026-08-25 19:15:06
0
mrsghalib83
شمسة🌼 :
Kwan tukienda wote hatupati original😏🤣
2026-08-10 14:37:08
0
asiashenenga
Asia :
jamani wengine sio waaminifu nikikumbuka nilitoa pesa nifyatuliwe tofali za nyumba nzima baadae nakuja na fundi wa kujenga tofali hazifai yaani ni michanga mitupu inshort wengine wezi
2026-08-24 11:06:57
0
annastylsh
Nguo nzuri kariakoo :
kunafundi nilimwambia akachukue rangi original dukani nilikua nimeshailipia akaenda akaenda kuchukua rangi feki hela ya juu akamwambia mwenye duka ampe 😂😂 nikashtuka , nikampigia simu fundi nikamuuliza kwanini umechukua rangi feki akati mimi nimelipia original? akaanza kujikanyaga weee nilikomaa nae mpaka akaenda kubadirisha rangi na alirudisha hela dukani
2026-08-13 20:55:55
0
leilangowo3
lilianngowo679 :
mnapiga sana mm nanunja mpk msimari
2026-08-10 18:43:05
0
user7084971244139
user7084971244139 :
kwann tusiende wote nikupe helaaaa
2026-08-11 18:18:53
0
musadave78
▌▌║║▌║▌║█ :
waziii✌✌✌
2026-08-03 15:55:10
0
To see more videos from user @wiriplusedecoration, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About