uki fata maelekezo una weza shangaa sm ninzito kuliko jiwe
2026-08-03 16:25:30
12
✍️𝕃𝔼𝕏_𝕃𝕐ℝ𝕀ℂ𝕊 🎙 :
kwahy itakuwa tablet acha bana😒
2026-08-03 17:49:05
2
MPEMBA :
yani nitupe cm yangu kisa settings? haupo serious
2026-08-03 21:14:19
0
scott mactonny :
amna kitu kinaniudh kama lets do this
2026-08-03 21:54:32
0
HESRA LYRICS :
ila ukitoa sim card ukairudisha tena inajizima vip nahiyo
2026-08-03 21:39:02
0
Clinton Jumba :
na ni a 16 na kule upande wa home screen grib siipati kwenye setting
2026-08-03 16:46:01
3
Meddy26 :
samsung yangu haina huo utumboo
2026-08-03 20:35:51
0
narhanna :
nipo pamoja nawe hadi niilock samsung yangu😂
2026-08-03 21:05:43
0
Roby 1 :
nimeset zote
2026-08-03 16:54:53
0
princess dee💕💕 :
mwisho wasiku simu zetu zifungiwe😁😁
2026-08-03 20:52:08
0
Khadija Hemedi :
salaam hakuna😂
2026-08-03 17:23:10
0
💲PHATH🃏BOY...🍀..DOX🚫GANG🎲 :
Kwanza wew bro unatumia simu gani???
2026-08-03 18:23:08
1
love and destiny❤️♥️ :
vip kuhusu samsang note10+
2026-08-03 18:36:59
0
RopaDicto :
kaka sim yangu ina vibrates nikiingia kwenye camera nifanyaje ili itulie
ni sm note 9
2026-08-03 19:29:44
0
ØFF΀ÎĀL VÌ 🫰🚬 :
bro vp mi niko na shida moja
nko na Samsung A17 bt Samsung account ilikataa sijuwi shinda nini
2026-08-03 17:33:24
0
MDONYA🍂 :
wa kwanza
2026-08-03 15:26:24
0
Bazenga🤟 :
San 🤟🤟🫡
2026-08-03 16:32:42
0
Officialzakayo :
kuna baadhi ya setting unazifundisha hazisaport
2026-08-03 15:26:44
0
45PAPILLON :
kaka naomba unifahamishe me nina mpenzi wangu naona status zake na pia na like na yeye anaona km nime view na ku like lkn me nikiweka status zangu hazioni please 🙏
2026-08-03 21:08:12
0
NARROW :
2026-08-03 18:57:55
0
Dewezzy xell :
siwezi ku mfollo mtu awezi kunifollow
2026-08-03 20:49:19
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.