@bongofive: Baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza wa kike, mwanamuziki Zuchu amepokea upendo na sapoti kubwa kutoka kwa mastaa mbalimbali ambao wamejitokeza kumpa pongezi hospital pamoja na kumzawadia fedha za kutosha. Hatua hiyo imeonyesha mshikamano mkubwa kutoka kwa watu wa karibu naye, huku mashabiki wakiendelea kumtakia heri katika mwanzo huu mpya wa maisha yake kama mama. 🎤…… @cathed__