@mex.prince: 🇰🇵 Sheria 7 za Ajabu za North Korea! 😳 Baadhi zinaweza kukushangaza, nyingine zinaweza kukufanya ujiulize kama ungeweza kuishi huko. Ni sheria ipi imekushangaza zaidi? Andika namba yake kwenye comments! 👇🔥 Disclaimer: Video hii imetengenezwa kwa madhumuni ya elimu na taarifa, ikitumia vyanzo vya umma na ripoti zinazopatikana. #NorthKorea #HistoryFacts #DidYouKnow #Documentary #fyp

𝐌𝐞𝐱 𝐩𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞
𝐌𝐞𝐱 𝐩𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 August 2026 16:05:42 GMT
396543
25006
684
848

Music

Download

Comments

user3742798261573
user3742798261573 :
hata siku mbili siishi 😅😅😅
2026-08-04 06:10:22
129
michaelanzimbo1
son of the most high :
don't see us to be fools..if no internet, then how did you knew about this?🤔🤔
2026-08-10 17:07:11
0
chris_towntz
@Chris_towntz :
hii ndo nchi ya kuish sasa
2026-08-03 16:36:25
175
user9562669309508
kimB :
umesahau awapokei wageni kutoka nchi yoyote Ile
2026-08-04 10:23:43
54
niyonkorerafabri4
Baraka Elias Tz🇹🇿 :
acha uongo
2026-08-03 18:35:34
30
dismas.gerald1
dismas gerald :
Mmmh bora nibaki zangu Tanzania uhuru upo wa kutosha.
2026-08-04 06:19:06
27
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Haya tofautshen Tanzania au Korea kaskazin mtagundua uku uhuru sana🤣🤣🤣🤣
2026-08-04 00:01:24
70
user0686506514
man s :
aaah ata mwezi sitoboi uko
2026-08-03 20:46:55
27
wilsonsquotes
.following :
acha tuu nilime huku kwetu, na mama yangu samia🥲
2026-08-06 09:25:30
11
stezy927
miss💞soita✨️ :
ndio maana niko kenya huku tunafanya vile tunataka
2026-08-04 20:05:26
10
maujanja05
Eddy king :
ningeshakuwa nime kufa kitambo mm na mziki Plus movie za marvel jamani jamn kwisha mm😂
2026-08-04 17:26:09
5
shaweyryh
🖤 :
Kweli TANZANIA ni nchi ya amani♥️
2026-08-04 09:17:51
11
paul_scalano
Poh Adui, Mnyama :
Asante mama kwa kunizaa bongo😂
2026-08-04 06:47:50
9
_josep10
_joseph the traveller$🤞 :
na mbna naona wako iphone na niza USA
2026-08-04 17:20:53
5
user9083811463139
Ramadhani Kibogi :
acha uongo
2026-08-04 03:38:36
8
surasiorooh
sura sio looh :
apana kwakwer iyo nchi unaweza kufa kabra uja fanya lolote ukiskia tu sheria za nchi umekufa gafra. 😁😁😁😁
2026-08-04 08:39:51
8
swahili.edm
ozias walker SWAHILI EDM🙌 :
Watu tunao penda TikTok hatuwezi kuishi huku
2026-08-04 06:01:04
8
ayka.muhammed
Ayka Muhammed :
ilove you Tanzania 🇹🇿 😂
2026-08-06 12:02:30
0
reactorugamenil
UGA KID•••$🫰🇩🇪 :
DUUH HAPO KWENYE DINI DUH...
2026-08-03 20:45:57
5
monaz_life
Ramona :
Bora nimezaliwa tanzania hii nineema mungu amenipendelea
2026-08-04 08:23:48
5
lizz58982
lizz589 :
hii nchi inatakiwa waishi gen z wa tz yaan watasota sana😂
2026-08-03 21:59:48
14
rushy__og
RUUH🧕💜 :
kuish bila mitandao ya kijamii kipengele
2026-08-04 02:42:16
10
bad.face24
Fx tentation🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌 :
watu wa Korea gonga like
2026-08-03 18:42:27
18
nishaosman660
nisha :
sasa wao mbona move zao wanatuletea sie huku tuangalie tena kwakulipia
2026-08-03 18:26:03
8
godzengo2
God ixco🏀 :
Mm ya picha kak ndo itanixhindaa
2026-08-03 16:19:52
18
To see more videos from user @mex.prince, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About