@bbcnewsswahili: Je, uwepo wa baba wakati wa kujifungua ni ishara ya upendo au msaada? au ni jambo linalopingana na mila za Kiafrika? - Wataalamu wanasema uwepo wa mwenza unaweza kumpa mama faraja na kuimarisha safari ya uzazi. @scolar_kisanga anaelezea 🎥@Frank Mavura #bbcswahili #foryou #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #furaha #mapenzi #fyp
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 03 August 2026 16:20:15 GMT
Music
Download
Comments
sule :
Absolutely right approach 👍
2026-08-03 19:42:08
0
NURUDINI DREADLOCK DUBAI🇦🇪 :
🤣🤣🤣🤣but ye is good
2026-08-03 20:24:41
0
Mrs money 💰 🤑🤑 :
😂😂😂Nimegundua BBC nao ni Kama Mimi tu kwann muweke izo picha mbili 🤣🤣🤣🤣
2026-08-03 16:23:42
34
Caramprint :
BBC wambea sana
2026-08-03 17:13:24
10
Moana Ally :
mim mme wangu ndio hua mtu wa kwanz kushika mtot na anapend sana
2026-08-03 19:14:16
4
henna artist (A)❤️😍 :
Naunga mkono 🥰🤗
2026-08-04 07:17:55
1
DannyP :
BBC wanafiki sana si muunde kwenye point wacheni hizo🤣😂
2026-08-03 18:33:50
2
costancia Edgius B :
ila BBC hampitwiii
2026-08-03 16:26:11
2
$$$%%% :
Marekani kawaida
2026-08-04 03:18:17
0
Samwel Simkonda :
Mimi wakwanza kucomment naombeni like zangu
2026-08-03 16:24:05
1
Augen Sylivand :
hii ni kawaida NAMI nilikuwepo mke wangu alipo kuwa anajifungua
2026-08-03 16:34:08
1
MayallaJ :
mmh imekuwa kawaida uzao wangu wa kwanza nimezaa 2016 na alikuwako mume,mama na odooo..
2026-08-04 06:21:32
0
pendo ramadhani :
Kwa sasa hiv Hawa vijana hawana huo muda wameishakuwa wabinafs sanaaaa kapo ni sahihi sana
2026-08-03 16:29:29
1
User :
kawaida Mume wangu kila nikijifunguwalazima awepo😂😂😂
2026-08-03 22:28:15
0
Prisca j :
Ni Sawa ni inagusa moyo sana wanaume watusapot kwa Hilo
2026-08-03 19:22:56
0
س..♡✨️ :
nani admini ya BBC jmn😂😂😂
2026-08-03 18:38:54
0
Man T :
Mimi nilijaribu kuingia nikafukuzwa Nurse😂😂
2026-08-03 20:05:41
0
shaney :
ndio
2026-08-04 06:19:47
0
yaxo boy :
ni sawa 😁
2026-08-03 16:22:59
0
Patrick mugisa hassani :
Niko nawatoto 4 nakila mutoto nakuwepe daniya room kwakutaka yamukewangu
2026-08-03 16:42:27
0
Shedrack :
kwan nimemuanglia mie wenu ?? si mke wangu
2026-08-03 17:28:04
1
azahjp :
mmmmh mbona kawaida sana ila kwangu 🥰🥰
2026-08-03 18:38:09
0
allymsellem :
mshaanza kuchamba umbea
2026-08-03 16:41:32
2
Glady Willy :
ila BiBISIIIII😂😂😂😂😂
2026-08-03 18:52:51
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.